Nahitaji mume

Status
Not open for further replies.
Sifa zangu
Umri: miaka 34-35
Dini: Mkristo
Elimu: Shahada ya uzamili
Ajira: Mwajiriwa wa serikali
Urefu: 161cm

SIFA ZA MWANAUME
Umri: 35-45
Kabila: Lolote
Rangi: Yoyote
Elimu: Shahada na kuendelea
Kazi: Uwe mwajiriwa wa serikali
Dini: Mkristo
Uwe mkweli.
Uwe tayari kupima HIV
Watoto: Ukiwa na watoto ni sawa sababu mimi nina mtoto mmoja.
NB: kama hauna vigezo usije pm
Mtu mwenyewe ni single mother,, imeweka standards kibao as if ni bikra
 
Sifa zangu
Umri: miaka 34-35
Dini: Mkristo
Elimu: Shahada .....
Ajira: Mwajiriwa
Urefu: 161cm

SIFA ZA MWANAUME
Umri: 35-45
Kabila: Lolote
Rangi: Yoyote
Elimu: Shahada na kuendelea
Kazi: Uwe mwajiriwa wa serikali
Dini: Mkristo
Uwe mkweli.
Usiwe mlevi.
Uwe tayari kupima HIV
KWa umri huo ulionao wewe ndo unatakiwa uandike sifa zako nyingiiiiiiiiiii kuliko za unayemhitaji..ukifuata ushauri wangu utanishukuru baadaye
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom