Hivi ni sahihi mitandao ya simu kuingiza tena sokoni namba ya simu ambayo haijatumika kwa muda fulani?

Airtel wamenipigia ikifika 31 Dec 2019 sijasajili alama za vidole line itafungwa.
Sijui wanataka kunifanyia mnachosema?
Mimi niko kitandani nimepooza miguu japo naongea na kuandika watakuwa hawajanitendea haki waje hapa kitandani wachukue alama zao.Mimi ni mteja wao toka wanaitwa Celtel-Zain-Airtel au lugha nyepesi toka waje nchi hii nimewachangia mno.
Pole sana.
 
Nina uhakika, nikuulize wewe unayesema zinarudishwa na ulete ushahidi hapa wa namba tano ambazo mwanzo zilisajiliwa na leo zinatumiwa na watu wengine
Kweli usikatae huwa wanafanya hivyo hata mimi njngekutumia jombaa ila nilikopa Timiza walipoifunga nikashukuru_Jamaa wanahasira ya mkizi

Siku watu wananitafufa wakaniambia line yako mbona tukipiga inaita..!?

Nilipoipigia nikahakiki kabisa maana alipokea mwanamke na jina la airtelmoney ni lake_nikapotezea tu hakukuwa na namna
 
Laini yangu sikuitumia mwezi mmoja siku najaribu kuipiga anapokea mwanamke yuko mahenge.
Nimesajiri laini ya airtel mpya ila kila mara nimekuwa nikipigiwa simu na wakurya wa mara wanamuulizia Chacha karibu kila siku imekuwa kero sasa.
 
Airtel wamenipigia ikifika 31 Dec 2019 sijasajili alama za vidole line itafungwa.
Sijui wanataka kunifanyia mnachosema?
Mimi niko kitandani nimepooza miguu japo naongea na kuandika watakuwa hawajanitendea haki waje hapa kitandani wachukue alama zao.Mimi ni mteja wao toka wanaitwa Celtel-Zain-Airtel au lugha nyepesi toka waje nchi hii nimewachangia mno.
Kawakala mtaani wapo wengi sana.
Huwa wanatembea nyumba kwa nyumba.... kitanda kwa kitanda
 
Airtel wamenipigia ikifika 31 Dec 2019 sijasajili alama za vidole line itafungwa.
Sijui wanataka kunifanyia mnachosema?
Mimi niko kitandani nimepooza miguu japo naongea na kuandika watakuwa hawajanitendea haki waje hapa kitandani wachukue alama zao.Mimi ni mteja wao toka wanaitwa Celtel-Zain-Airtel au lugha nyepesi toka waje nchi hii nimewachangia mno.
Dah pole sana kamanda hakika utasimama kuendelea na mapambano kwa uwezo wa Mungu
 
Nina uhakika, nikuulize wewe unayesema zinarudishwa na ulete ushahidi hapa wa namba tano ambazo mwanzo zilisajiliwa na leo zinatumiwa na watu wengine
Mimi namba yangu ilipotea na sehemu iliyokuwepo nilishindwa kabsa kurenew line yangu kwa sababu Ni porin Sana na tulikuwa kikaz kwa muda wa miezi 8 baada ya miez Kama 5, siku moja nikataka kujaribu kuipigia nikashangaa inaitwa nilipojaribu kuongea nae tukashindwa kuelewana kutokana na utofaut wa lugha kumbe Kuna mchina kaisajili baada ya kuletwa sokon
 
Una uhakika hairudi?

Usichokijua ni sawa na usiku wa giza

Baki na ubishi wako

Kweli usikatae huwa wanafanya hivyo hata mimi njngekutumia jombaa ila nilikopa Timiza walipoifunga nikashukuru_Jamaa wanahasira ya mkizi

Siku watu wananitafufa wakaniambia line yako mbona tukipiga inaita..!?

Nilipoipigia nikahakiki kabisa maana alipokea mwanamke na jina la airtelmoney ni lake_nikapotezea tu hakukuwa na namna

mm nina ushahid kabisa watu wamepewa wengine

Pale unaposhikilia ukaidi wako wala huna unachokijua

Mimi namba yangu ilipotea na sehemu iliyokuwepo nilishindwa kabsa kurenew line yangu kwa sababu Ni porin Sana na tulikuwa kikaz kwa muda wa miezi 8 baada ya miez Kama 5, siku moja nikataka kujaribu kuipigia nikashangaa inaitwa nilipojaribu kuongea nae tukashindwa kuelewana kutokana na utofaut wa lugha kumbe Kuna mchina kaisajili baada ya kuletwa sokon

Una uhakika?

Namba ya kwanza ni yangu 0755247909, ilipotea na sasa inatumiwa na mtu mwingine

Ww ndo hujui. Namba yangu ya Airtel niliyosajili Sasa napigiwa na watu wengi wanamtafuta abdala wa songea wakati mm Niko moro na wala simjui

Kuuza namba iliyokua inatumika na mtu hilo ni kosa, hii mitandao inafanya kihuni sio halali ndo maana wana uhuru wa kubuni namba mpya.
 
Watajuaje Kama we we unaumwa na je Kama umekufa? Kinachofanyika hapo ni maelekezo kutoka tcra wanataka kujua ni laini ngapi zinatumika
Unaponunua kitu na kuwa mali yako na usipoitumia, ukairundika tu hapo nyumbani, mwenye duka ulikoinunulia hukufuata na kukupokonya?

Makapuni ya simu ni wezi.

Hakuna mahali popote kwenye mkataba wa kuuziana wanaposema kuwa usipoitumia kwa muda fulani watairejesha kwao.

Ingelikuwa ni haki? Basi wangelukulipa pesa uliyoinunulia!

Hata vifurushi mbalimbali ku expire ni wizi wa mchana kweupe, kwa kuwa walishatuona raia wa Tz wote ni wapumbafu.
 
Unanunua line na kusajili lakini kutokana na sababu mbalimbali, unakuta hujaitumia hiyo line kwa muda fulani. Cha kushangaza mitandao ya simu inaaamua kuiingiza tena sokoni hiyo namba ili inunuliwe na kusajiliwa na mtu mwingine.

Kitu kimeuzwa na kusajiliwa sasa kwa nini kisimilikiwe daima na aliyekinunua? Mbaya zaidi ukomo wa hiyo line kuwa hewani kabla hawajaingiza tena sokoni unakuta ni miezi mitatu yaani hawajafikiria hata suala la mtu kuumwa n.k.

Huu usajili mpya ufutilie mbali kabisa uwezekano wa line moja kuja kusajiliwa zaidi ya mara moja.
Inasababisha kero sana, nilikuwa na line ya vodacom, nikawa nimekwenda ughaibuni kwa kipindi kirefu, niliporudi line imeuzwa kwingine, ndugu jamaa na marafiki wakawa wanapiga simu inapokelewa na mtu mwingine siku moja nikampigia huyo aliyeuziwa nikimwomba niichukue, akakataa, baada ya miezi kadhaa akanipigia akiniomba anirudishie line ameshindwa kuendelea nayo kwasababu usumbufu aliokuwa anapata wa kupigiwa simu zisizo zake ulimchosha asubuhi mchana jioni usiku anapigiwa simu ngeni tupu na chache sana za watu anaowajua akabwaga manyanga
 
Wafanye hivyo na akaunti za benki. Nilikua na line yangu ya airtel, sikuitumia kwa mda kidogo sababu line ilipotea. Siku moja napiga ile namba mtu mwingine anapokea. Dah airtel shenzy sana.
 
Back
Top Bottom