Hizi nyumba si kila mtu anaweza kumiliki,lazima Uwe mwanachama!tena uliye changia zaidi ya miaka mitano!!.Sasa basi kwa sisi wananchi wa kawaida! ambao siyo wanachama,ngoja tusubiri na sisi nyumba zetu!! Tutajengewa tu tusihofu!!.
Bado nayakumbuka sana maneno ya baba wa Taifa!!:nanukuu!(Nchi corrupt hazikusanyi kodi,zinabaki kufukuzana na vitu vidogo mabarabani basi)mwisho wa kunukuu!!
Sina hakika sana kama wafanya biashara wakubwa wanaweza kufanyiwa kitu kama hicho!!
Lakini cha msingi hapa ninachoshauri ni kwamba,si...
Mimi naona swala la msingi hapa, Hawa Wasomali wanaingia nchini mwetu kwa kufuata sheria za nchi?
Vinginevyo amini usiamini lipo tatizo! na hili si kwa Wasomali tu ni kwa wageni wote! Kuna watu wanatetea kwa nguvu zote! ni lazima wafikiri Mara mbili Kama jambo wanalotetea lina masilahi Kwao na...
Wataanza kugawa vitambulisho siku Saba zijazo!! Samahani naomba kujiuliza, si walisema kuna zoezi la picha na kuchukuliwa Alama za vidole? Zoezi hili limefanyika? au liliwahusu wakubwa tu?
Samahani lakini!!
Mwaka 2010 mwezi wa 10 nikiwa natoka Tabora nilipata ajali katikati ya Morogoro na Dodoma, Ilikuwa muda wa saa 10.45alfajiri,nilichoshangaa ndani ya dk 10 watu walikuwa wameshajaa eneo la tukio, watu wa eneo lile ni watu wapekee sana kwani walinisaidia sana pamoja na wenzangu nilioongozana nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.