Wabongo true love sio asili yetu

Wabongo true love sio asili yetu

ndo walivyo wabongo,kama anakuzingua tupa kuleeeee,unajua nini,bado wana ile akili eti usioneshe kama unampenda sana.pu.mba.fu

We tulia ngoja sasa nimfungie busta lazima ajambe cheche haki ya nani hapa shuzi limempata mjambaji yaani.
 
Kuchokwa ni jambo lisiloepukikwa Kama hutabadili mbinu za mapenzi.
 
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.

Mapenzi yaliumbwa kwa ajili ya binadamu wote wakiwemo wabongo,si kweli kwamba wabongo hawana true love.Isipokuwa ukiona hayo yanatokea ujue yafuatayo yaweza kuwa yapo
  • Uko na mtu asiye na upendo wa dhati kwako
  • Uliye naye hakuwa na lengo la mahusiano ya muda mrefu,wakati wewe unakufa kwake yeye anafikiria kuingia mitini(nalo neno)
  • Mko katika mapenzi yasiyo na malengo,wakati unamuonyesho upendo yeye anahisi unamtega ili kumpa mizinga mikubwa(madem wa kibongo wengi)
 
Kila kitu kina-face depreciation.. its just the matter of flexibility..
 
You can throw diamond while ur busy searching stones....naiona sana kwa wanawake wa huku kwetu uswazi unakuta jamaa anampenda yeye mapozi kibao anaangaika na watu wa ajabuajabu baadae akili ikikaa sawa..anakuta kashachelewa siku nyingi.....
 
Tejaaaa! lol! Watu wenye bahati zao za kupendwa, mapenzi ya kweli siku hizi ni nadra sana kuyapata ndio maana wa MUJINI wakasema ukishikwaa......Please convey my special greetings to Mamkubwa, Mamdogo, Twins, Teja na Dogo mpenda shikamoo 🙂🙂



kweli kabisa ni baadhi.......ila labda ndo idadi kubwa, mi sijui....
ila ninachojua yule wangu kadiri ninavyomwonyesha nampenda ndo anavyozidi ku-sticky kwangu
 
Last edited by a moderator:
Tejaaaa! lol! Watu wenye bahati zao za kupendwa, mapenzi ya kweli siku hizi ni nadra sana kuyapata ndio maana wa MUJINI wakasemaukishikwaa......Please convey my special greetings to Mamkubwa, Mamdogo, Twins, Teja na Dogo mpenda shikamoo 🙂🙂
ha haaaa, ndo nimeshashikamana hivyo, lol!
chezeya kupenda na kupendwa weye! hakuna rangi utaacha kuiona.....
hayo woooteeee wamesikia salamu zako...... wanakusalimu pia rafiki
 
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.


Nafikiri hili tatizo sana sana wanalo kina dada. Mara nyingi najiuliza hivi ni kwa sababu hawajiamini kwamba wanapendwa na mtu fulani au?
 
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.

Teh! Usijaribu ku-mbeep, atakumwaga kweli kweli 🙂
 
Unamuonyeshaje kuwa unampenda?
Usikute unatumi styles ambazo ex wako ndo alikuwa anapenda.
Vuta pumzi, jifunze anapenda nn.
Usiige tu mbwembwe zote unazosikia kwa mashosti na na mablog au watu baki wowote.
Kama uko serious, basi mjue yy anachopenda umtimizie.
Kwa kuanzia punguza maneno au kauli za chooni, hapa ni hadharani
 
Back
Top Bottom