Recent content by Conquerer_

  1. C

    JamiiForums Tanzania Faida nilizozipatakwa kupanda migomba michache kuzunguka nyumba yangu

    Migomba inastawi Sana sehemu nyingi Cha msingi zaidi Ni mbolea na maji..kwa sehemu zenye miamba au mawemawe bado inawezA kufanya vizuri, muhimu Ni kuhakikisha shimo linakua refu na mzunguko Mpana Kisha changanya mbolea nyingi ya samadi na udongo... Ndizi kubwa na zenye afya chagua Miche midogo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnahitaji nini?

    Mpuuzi huyo piga chini atakuja mwenye kujua thamani yako..namshukuru Mungu ninae ambaye Yuko humble Kama wewe na sithubutu kumzingua cuz Najua thamani ya kuthaminiwa nae
  3. C

    JamiiForums Tanzania Our beloved late President Magufuli: Was he a science denier or a threat to the Empire?

    And I think pamoja na smartness yao yoote hii waliwaza wakiwa wamevuta 'ugoro' covid na mipango ya chanjo haimake sense hata kwa mtu wa kawaida sana
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuendana na mwanaume mwenye changamoto za kiuchumi

    Nachoweza kusema wewe Ni mmoja Kati ya wanawake Bora Sana na unajielewa,huyo jamaa anakupenda amepata tu low self esteem sababu ya kushindwa kuchangia kwenye mahusiano yenu financially..hii Hali ni Ni ngumu Sana na wakati mwingine anaona solution Ni kukuavoid but trust me deep inside...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

    I'm a fan of chopping,Ila napenda kutumia board ya mbao Kuna hizi za plastic Zina mwonekano mzuri Ila kuitumia si nzuri kiafya sababu vipande vidogo vya plastic(microplastics) ambavyo unapokata vinaambatana na chakula.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu (vichwa vya familia)

  7. C

    JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    Hahaha kuishi na Hawa viumbe yataka kuwaelewa kweli kweli na kuwachukulia nadhani hakuna ubaya juu ya Hilo swali ingawaje Kuna saa linaboa hasa pale unapotaka kuona ubunifu wake.mi siyo Hilo tu kila asubuhi ananiuliza Leo nivae Nguo gani,nagundua nikimwambia vaa hiki na kile anafurahi na...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

    Yeah waliongeza kemikali hatari inaitwa melamine kufake maziwa yaonekane Yana protini kubwa ilikua bonge la scandal mwaka 2008
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

    Kongole kwa bodi ya maziwa, kazi nzuri kwa mustakabali wa afya ya jamii yetu haswa watoto
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

    Mchukue mkeo uje uishi nae kwa kua hapo ulipo kipato kidogo pambana ukiendelea kutafuta kazi nyingine uzoefu utakubeba. Mkeo waza kumtafutia biashara ndogo. Afya ya mtoto itaimarika tu kutokana na kuzoea Mazingira kwani utaweza kumhudumia kwa karibu, hili la kutotaka mtoto kusoma Dar halimake...
Back
Top Bottom