wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
Mfano mdogo ni kwenye timu ya mpira. Hapa ndo huwa nashangaa watu wanashindwa kuelewa.
Kocha anachokifanya kwa wachezaji anawapa spirit( mzuka) wa kushinda mechi. Spirit is very powerful. Ndo maana unaweza kuta timu ni nzuri lakini haina spirit inaishia kufungwa na timu ambayo sio nzuri lakini imepewa spirit.
Mimi huwa sishangai spirit mtu anapoitafuta kwenye imani yoyote. Simba anapoenda kwa mganga wake ili ashinde mechi ya yanga. Hiyo ni spirit tayari kachukua. Sio kitu kibaya kama tunavoaminishwa kwamba ni ushirikina. Hiyo ni spirit

Naunga mkono hoja. Religions divide, Spirituality unites. Kwa mfano ninapowatazama watanzania wote kwa ujumla bila lens za dini nawaona watu wenye changamoto zinazofanana na wenye talanta zinazoshabihiana. Wote tunapenda amani, furaha, watoto wetu wapate elimu na maarifa bora, na upendo baina yao. Hizo ni tunu za kiroho (spiritual elements). Dini pia zina nafasi katika kujenga na kukuza tunu za kiroho, zikijitambua nafasi zao. Ila zikianza kutumika kuhubiri chuki, na kuleta utengano katika jamii, hiyo taasisi lazima ifuatiliwe na kushughulikiwa.