Recent content by conquer

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpata mwanaume sahihi ni kazi kuliko mwanamke sahihi

    Barikiwa mkuu..
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpata mwanaume sahihi ni kazi kuliko mwanamke sahihi

    [ Niliwahi kuwa na kamachumba kamasikini, kananuka shida nikikavumilia. Nilipauka acha kabisa.Alivyopata hela sasa nilimwona!!!?Kwanza hiyo Siku nikasema mwanaume asiye na pesa apite kushoto] ....Sasa Cute b hadi ukapauka, je wewe mwenyewe hukuwa unajitafutia pesa either kwa ajira au hata...
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini kismati vs jini mahaba

    Amen brother.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini kismati vs jini mahaba

    === Zaburi 1:1 - 10 Heri yule asiyekwenda ktk njia ya wasiyo haki wala hakuketi barazani kwa watu wenye mizaha njia ya Bwana ndiyo huitafakari mchana na usiku. Atakuwa kama mti ulopandwa kandokando ya kijito cha maji, majani yake hatanyauka wakati wa khali. Kila alitendalo litafanikiwa(...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Free talk: Mwanamke shtuka!

    Wewe mdada una akili sana, wanawake wenye mawazo kama haya hawazidi hata 0.5%. wenyewe wanawekeza ktk vitu ambavyo si assets( Income generating investments), badala yake wanawekeza ktk liabilities. Bravo. Nimekupenda bure.
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake kwa wanaume kuna kitu cha kujifunza kwa Diamond Platinums

    ["miss chagga, post: 15286201, member: 148879"]mapenzi hayana mwenyewe waweza penda kijana au mzeee ...... maneno yako ni kuntu mabinti mjini tunaruka ruka kama kunguru anayetafuta mzoga upo wapi ] Miss chagga nimekupenda bure, you said it all. Comment zako huwa zinakuwa balanced, hupendelei...
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua, potelea mbali, liwalo na liwe

    [The Boss;14507126]Shida ya wanawake....ni kuwa wanadhani siasa ni kama Simba na Yanga..... so wanafikiri ni utani utani.....tu] Mkuu siasa inagusa maisha yetu directly, sasa kama wanawake wanachukulia utani utani basi hawa si binaadam km sisi, nadhani wameumbwa kwa tofauti sana. Kwa kweli...
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa hivi ni hovyo

    Mbona unakurupuka, hajasema 'koma' , kasema komaa, yaani ukaze buti, kakushauri kwa upendo wewe unamtukana, ndiyo maana mme wako akaku ignore. Hovyo
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usipohonga yakikukuta usilalamike

    [sema ubatafuta mwanaume Mwenye MALENGO PESA ZINAISHA NA ZINATAFUTWA VILE VILE] Second to non advise, you are inspirational. Nimekupenda bure.
  12. C

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Mkuu njo Azania bank, tuna new product inaitwa Dhamira Account, unakuwa unaweka kiasi unachakitaka kila mwezi na kila mwezi utapewa interest ya 8%.Hii account utakuwa naweka tu bila kutoa.Iki mature unapewa pesa zako zote pamoja na accrued interest yako ile 8% Per month. Kama upo Dar es Salaam...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marketers na drivers ni hawajatulia

  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

    [Mimi napenda sana kuangalia Bella Naija wedding...yani utadhani nataka kuoelwa mara ya pili...nasoma love story za watu...naona wanao propose na ma BMW X6 na wanaowaoa utashangaa ni wa kawaida si Kim K type...unajiuliza huyu mwanaume na miela hii si angeoa mwanamke yeyote tena mzuri kama...
Back
Top Bottom