Marketers na drivers ni hawajatulia

Marketers na drivers ni hawajatulia

Proffeshion gani ndo sio malaya?

Evelyn Salt hujui?
real men.jpg
 
Last edited by a moderator:
Marketers, sales na loan officers nao ni hatari sana, huwa kazi zao zinawapelekea kufanya umalaya kutokana na malipo madogo ya ujira wao]

Marketers are the best paid na pia wana marupurupu kibao km phone credit, petrol ktk magari yao, achilia mbali safari za mara kwa mara, kuatend exhibitions, pamoja na seminar nyingi tu kwa mwaka hata maafisa wengine km accountants wanatuonea wivu maana wao wanasubiri salary pekee mwisho wa mwezi. Hata loan officers nao hawategemei mshahara pekee, wana privileges kibao.
Dude you are quiet wrong. Lkn umalaya ni tabia ya mtu havihusiani na carrier ya mtu wala kabila yake.
 
Back
Top Bottom