Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
"plofeti"Lipo lina nongwa hilo plofeti kasingiziwa....usisahau na jini mapepe...
mwaga sifa kwa huyo mapepe
"plofeti"Lipo lina nongwa hilo plofeti kasingiziwa....usisahau na jini mapepe...
Eimeeeeen,eimen!!!Hayo majini siyataki, mimi nataka favour, kibali, fadhili, upendeleo wa miungu. Ukiwa na huo hakika wema na fadhili za Mungu zitakufuata siku zote za maisha yako
Bash boi knows better

naipenda sana jf jamani uiiUsiombe mawanaume ukaingiwa na njini mahaba alafu likawa Shoga utapata tabu sana![]()
Hayo majini siyataki, mimi nataka favour, kibali, fadhili, upendeleo wa kiungu. Ukiwa na huo hakika wema na fadhili za Mungu zitakufuata siku zote za maisha yako
Kitu gani kilimkela huyo kaka yako hadi akalichukia, maana nasikia yana uwezo wa kuja katika umbile lolote unalolitaka, kaka yako alipoteza bahati kabisa, ningekuwa mimi ningeliambia lije katika kila aina ya sampuli Duniani.Nina ndivyo nitakavyokuacha....hii dunia Ina mengi Sana tusiyoyajua....