Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

[FONT=Century
Gothic]Good behaviour is lacking...no one (man) will marry a
beautiful girl with bad behaviour.
[/FONT]


huyu ataolewa kesho maana hayuko kwenye lile group wa wazur zaid so msimtie mkosi
 
Last edited by a moderator:
Yes,wimbo nauelewa sn huo mkuu,Dube anasimulia kisa kikali cha yeye kumwambia mama yake kwa simu kuwa anaoa.Mama anamuuliza vipi umemchunguza huyo mke? Dube anajibu she is the best.
But anapiga simu huku inamuuma na kumwambia mama ndoa yng inavunjika,lakini mama yake anamjibu "It is not easy............"
Ni fundisho kubwa sana kwetu.

yah you got it ..............its not easy to understand it son ,but i hope you will make it and become happy again(imba),mama the choice i made didnt the make the way i thought it would
 
fine_black_woman.jpg



Why are the beautiful ladies still single... And the ones not too beautiful are getting married.

Just asking?

Wengi wao wanadhani uzuri..
1. Unapika
2. Unafua
3. Unafanya shughuri zote ambazo kimsingi ni majukumu ya mke

Halafu mbaya zaidi wengine waona kumkubali mtu amwoe, ni kama anampa mwanaume 'FEVA'...

Kingine ni kuwa huwa wana masherti meeengiiii at early ages
1. Yaani wanapokuwa wana miaka kati ya 20 na 27 utasikia.. huyo Ngalikihinja atakayetaka kuniowa awe na Vogue, boing 777, awe kama azam, awe kama Mengi... etc

Wanasahau kuwa kuolewa kupo inversely proportional na age... na masherti huwa wanayapunguza kadili umri unavyoongezeka. Anakuja kukubali yeyote akiwa keshachuja vya kutosha...
 
Beauty does not guarantee that everything will come served on a silver platter. Women of dignity go the extra mile.
 
Jaman samahanini hiy
pic iliy kweny post niya mke wang...huyo siy single kasha milikiwa huyo
ni inocent mali niliyotoa ndogo 2 but now ninamzigo ndani tena hata
hauchepuk yan uhaheshima sn

misifaaaaaaaaaaaa dah
 
Tena katika zama hizi ambapo maadili yamekuwa hadimu,uzuri si kigezo cha kuolewa hata kidogo kwa maana ni bora ukatilia mkazo mengine uzuri utakuja baadae ..so far unaoa mke ama unaoa mwanamitindo/model ama miss? it's upon your desire.
 
Wazuri maranyingi wanajidai, maringo mengi. Wanakuja kujua bado wapo stendi ya basi, basi limeshaondoka. Wanajisahau kwamba nawao wamo kwenye kundi la wasichana ambao hawajaolewa. Na kingine, kila mwanaume anajua, wazuri kuweka ndani, ni taabu tupu. Muta sumbuwana bure. Mukigombana kidogo, atakwambia; wajua mie natakiwa nawengi. Kwahio tabu zanini. Hawajui hawa tunaosema wazuri, kutofautisha kupendwa na kutamaniwa. Hawa wazuri ni wakukaa nao kwenye vimigahawa na kumbi zingine za starehe na kula mzigo na kutupilia mbali.
 
[Mimi napenda sana kuangalia Bella Naija wedding...yani utadhani nataka kuoelwa mara ya pili...nasoma love story za watu...naona wanao propose na ma BMW X6 na wanaowaoa utashangaa ni wa kawaida si Kim K type...unajiuliza huyu mwanaume na miela hii si angeoa mwanamke yeyote tena mzuri kama malaika...lakini story wanazo share zinasaidia kujua what men are looking for wakitafuta mke wa kusihi nae, mama wa watoto wake...]

Kumbe nyumba kubwa wewe ni mwanamke...
 
Maringo, kujiskia, jeuri, over confidence, dharau na siwanawake wazuri hata wenye kujaaliwa nacho wanaume hawawapendi wanawake wasample kama hii na ukikutana na hata na wazee wa hekma wanakwambia oa mwanamke kati na kati kwa uzur na mwenye dini utaifaid dunia
 
Kuchagua kwingi na kuwa "too expensive".

Ex wangu ambae we are still in good terms, we talk mara kwa mara, imefikia kipindi nikamwambia usipoangalia utabaki home!

Kwanza she is very pretty halafu kichwani ndio usiseme,at 26yrs tayari kana MBA, mwanaume ataanzia wapi hata kumsalimia? Mwanaume ambao at least wanaweza kwenda nae sambamba, wale ambao wanamwona wa level yao wote wameshaoa. Mara ya mwisho I know, she was dating a married man. Unaanza kujiuliza, kweli kakosa wanaume single vijana? Me nilimwambia, by dating older men kama hivyo you are scaring potential serious men who would like to be with you. Atakwambia, sijapata mtu tunaye-match i.e still looking for perfect match. He has to be tall, not necessarily successful but must ambitious and intelligent. Nilikuwa nafit ila tulishindwana because she was a control freak. I got another woman na muda si mrefu Mungu akipenda tutafunga ndoa.

Lakini my Ex hajui tu kwamba miaka inaenda and she is becoming more powerful with her education and job position which makes her more "simuwezi" among potential suitors, atakuja kutahamaki she is 30 na wanaume wanangalia wadogo zake.

Matatizo yao ni yale yale, kuchagua kwingi na wakati mwingine kuwa na mafanikio sana. As my cousin sister wangu alivyokuwa anamshangaa best yake ambae hajaolewa, "Binti hujaolewa, unanunua Prado tena la milango sita!!"


Embu mkuu fanya kuniPM mawasiliano yake ya huyo EX wako maana inaonyesha ana sifa ambazo ninazitaka na yeye anazozitaka mtu awe nazo
 
"Good looks catches the eye, but a good personality catches the heart", mara nyingi wale wanaojiona wazuri sana kwenye swala nzima la personality huwa inakuwa ni sheeedah sana!@Zinduna
 
Those beautiful girls are good for "hit and run".Isitoshe hao wanaojiita wazuri wapo wengi sana maeneo ya Ambiance, Joli, n.k ambao hawasababishi stress kuliko kuwaoa.
 
Kuna mmoja wanaume walichafua CV yake pona yake aliolewa na mwanaume toka nchi jirani....

Wanaume wana shukrrani?...utapewa majina yote..mama huruma, jamvi la wageni, etc...na mtu anakutaka unasema nina bahati ya kupendwa; kumbe ni sababu kaambiwa na wenzake hukatai mtu...

Wengine watasimuliana hata miguno yako...te te te..nashukuru sikuwahi mpa mtu papuchi college zaidi ya mume wangu...nani anataka kuwa topic ya discussion vijiweni...
Nyumbakubwa hyo avatar yako nilijua Kidume!.......
 
Mbona Daudi Kabaka alishatoa majibu...



Napenda kwenye beti ya pilii anaposema:

"Pengine tabia zako ndizo mbaya...
Awali kweli dada ulijivuna...
Kwanza mimi nilitaka nikuoe...
Ukaringa ati sina masomo"...

Oooh Baby!....
 
Last edited by a moderator:
Dah,niliwahi kumpenda binti mmoja mzuri sana(Kwa sura).Nilipomwambia kuhusu kumuo alinambia "Tatizo we ni mfupi".Juzi kati nilikutana nae nikiwa na mke wangu.Cha kushangaza mke Wangu ni mrefu kuliko yeye.Alitamani akimbie ila hakuweza,umri umeenda hajaolewa.Alibaki tu kujisemesha watoto wako wazuri mi nikamwambia hata mke Wangu mzuri.
Kisa kama chako kilisha wahi nikuta,..ila huyo binti aliniambia 'ndo wa kunisalimia mtu kama wewe',..aisee saizi kazalishwa kachakaa mpaka huruma!
 
Labda wana ji overate...kila mwanaume anayewatokea wanaona ni wa lower status kwao...wanasubiri wa status yao au ya juu zaidi yao...

Si unajua zile za 'yani niolewe na huyu...bora nizeekee home'...'na uzuri huu yani nimilikiwe na hiki ki Hamis...hell no...nasubiri mwanaume wa maana'....kibaya zaidi badala habanie papuchi anagawa hata kwa hao lower class...hapo ndio wanatengeneza CV mbaya...

sa kibaya wale ambao ni target yao nao wana taste zao za wife na wewe haumo kwenye vigezo vyao...

na kibaya ukute anashindwa kuwa 'expensive' anakuwa na multiple partners huku wote anawaona hawana vigezo, sasa hata yule wa quality yake hawezi kuji commit anakuwa amesha mpa label mbaya...sana sana na yeye atapiga afu ateleze...

Ni wanaume wachache wanaweza kujicomit kwa msichana ambaye ana list ya wanaume waliompitia kila alipopita...vyuoni, kazini, mtaani...na wazuri wengi (si wote) wana hii CV...

Mimi napenda sana kuangalia Bella Naija wedding...yani utadhani nataka kuoelwa mara ya pili...nasoma love story za watu...naona wanao propose na ma BMW X6 na wanaowaoa utashangaa ni wa kawaida si Kim K type...unajiuliza huyu mwanaume na miela hii si angeoa mwanamke yeyote tena mzuri kama malaika...lakini story wanazo share zinasaidia kujua what men are looking for wakitafuta mke wa kusihi nae, mama wa watoto wake...


Mimi pia aiseee ! yaani naishiaga kuumia roho tu yaani wenzetu wanathamini sana NDOA , Bongo hapa hata Pete wengine wanajinunulia wenyewe mwe !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom