Recent content by COMRADE 07

  1. COMRADE 07

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Huu uzi una miaka na mikaka...jamani tusipotee sana
  2. COMRADE 07

    Naombeni nyimbo za 'New life Band-Arusha'

    Ina maana hadi leo hazijapayikana?
  3. COMRADE 07

    Wahenga, tuwakumbuke watangazaji wetu RTD

    Umewakumbuka wengi sana..kuna hiki kipindi cha "tunawaletea mazungumzo baada ya habari" pia kuna kipindi cha "harakati" na kipindi cha "club raha raha leo show"
  4. COMRADE 07

    Samsung A-series za 2019 naona kama zishaanza kuwa yeboyebo

    A30 ndio mpango mzima. Naenjoy sana wala sijutii, Unatumia A30 una uhakika
  5. COMRADE 07

    Kumiliki bastola ni mzigo na hasara

    Nilipewa offer na mkuu flani wa mambo ya ndani ya kumiliki mguu wa kuku nikakataa...
  6. COMRADE 07

    TRA kuweni makini, Wasafi Festival

    Kweli wasafi festival wameweza kwa Old schools songs aisee
  7. COMRADE 07

    TRA kuweni makini, Wasafi Festival

    Old schools zimenifurahisha sana Profesa J,ferouz .sir nature na inspector
  8. COMRADE 07

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Wadau natafuta kilevi ambacho hakina harufu kabisa ila nitalewa
  9. COMRADE 07

    Angalia mwongozo wa kanuni uliyowachinja Wapinzani

    Kuna wanaccm mahal8 wamekosea kujaza form balaa. Sasa waneambiwa warudi kujaza form upya ili wapinzani wakitaka kuziona basi wawe na ushahidi...
  10. COMRADE 07

    Angalia mwongozo wa kanuni uliyowachinja Wapinzani

    Mchezo mzima unajulikana wewe dada....watendaji wamelazimishwa kufuta majina ya wapinzani
  11. COMRADE 07

    Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

    Ngoja tujenge uchumi kwanza mkuu. Demokrasia itakuka baadae 2025
Back
Top Bottom