Naombeni nyimbo za 'New life Band-Arusha'

Nazitafuta sana hizi nyimbo za hii band.

Mwenye nazo naomba, nimejaribu kuzigoogle hazipo.
You tube zipo walizofanya 'live' jukwaani mimi nataka Original zao.
"Mji ule unameremeta umepambwa maua"
Nichek nikupe no ya kiongozi wa new life band uongee nae akupatie izo nyimbo
 
Nichek nikupe no ya kiongozi wa new life band uongee nae akupatie izo nyimbo

Screenshot_20220208-191806_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom