Recent content by Compton

  1. Compton

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hata hizo taarifa anazihitaji, anataka kujua ni kitu gani walikuwa wanachunguza ili awanyooshe vizuri
  2. Compton

    JamiiForums Tanzania Kimei aja na vunjo cup yenye zawadi nono

    Mwambie kimei aachane na haya mambo ya ajabu, kwenye Jimbo lake kijiji cha kiruweni toka mwaka 2000 tunataka umeme na haujafika. Haya ndo mambo ya kushughulikia
  3. Compton

    JamiiForums Tanzania Swali la tafsiri ya terrorism linasaidia nini kesi dhidi ya Mbowe?

    Umuhimu upo hasa ukizingatia kesi yenyewe ni ya Terrorism, Sasa kama mtu anaefanya uchunguzi kwenye kesi ya ugaidi haelewi hata hiyo maana yake si ni upuuzi tu
  4. Compton

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

    Hicho kitu cheupe ni Ganja au Msuba, yani kifupi jamaa ameonyesha ubabe wa hali ya juu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Compton

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Pearl au kwa kiswahili "lulu" kama ilivyozoeleka kwa watu wengi

    Tena kwa wenzetu wanafuga hao Oyster kwenye aquarium
  6. Compton

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania wanasa Malawi wakifuatilia wahalifu

    Mbona Kuna Askari wenu alijaribu kuleta mambo kama haya kule kwenye boda ya Jasini, Tanga. Ashukuru viongozi wenu wa County ya kwale walikuja kupiga magoti la sivyo angeliwa kiboga
  7. Compton

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ng'ombe 25 wafariki, 33 watoka mimba Baada ya kuchanjwa

    We inaonekana kichwani hamna kitu na wala huelewi unachokiongea. Jamaa kakuelezea kitaalamu CBPP haichanjwi IV bali ni Subcutaneous we unaleta utoto
  8. Compton

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Ukiwa Gaidi ni lazima uwe na kundi ?? ,Au sa nyingine mkijisikia kuongea mnaongea tu hata vitu visivyo na maana
  9. Compton

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupamba nyumba yako kwa Tanga stones

    Hapo ni Doda au Vijinga?
  10. Compton

    JamiiForums Tanzania Roho inauma, nimetimuliwa nyumbani kwa fedheha

    Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje sio wewe huyu
  11. Compton

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia Suluhu ajikwaa, almanasura aanguke

    Anaonekana ni wakina Makame
  12. Compton

    JamiiForums Tanzania Nilikimbia mjini maisha magumu, nimerudi kijijini yamenitandika zaidi

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1822544/
  13. Compton

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Pemba, Wanawake watatu wapewa talaka kwa sababu za kisiasa

    Hao watu wa Pwani hata Vyoo hawana wanajisaidia baharini, unasema wamestaarabika?
  14. Compton

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Hivi nyie waCongo mbona mnapenda kuingilia mambo ya Tz
Back
Top Bottom