barabara za mbezi bado ni tatizo, maji salalasala na kinzudi pia ni muarobaini.Mheshimiwa ps take note maana 2015 si mbali.twajua wafanya kazi mazingira magumu lakini tembelea wapiga kura wako hasa hayo maeneo na naamini yako mengi huku jimbo la Kawe . Kumepoa Mheshimiwa
msukuma unayemsema alikuwa anaitwa suleiman matusela kamando..alisamehewa na ameshafariki...aliyetorokea kenya na Uk ni Lugangira..ameshafariki....alitokoroka na ex -pilot/comandoo akitwa Hatii maghee-alishikwa na kurudishwa keko.wengine pia walisamehewa na wameshafariki....pope alikuwa kikosi...
Whatever our role in life, wherever we may live, in some way or another, we all live with HIV. We are all affected by it.
We all need to take responsibility for the response.
--BAN Ki-moon, Secretary General
Lakini huwezi kuwapeleka viongozi wako kortini na bado ukaendelea kubaki kuwa mwanachama wetu.
.............aone Hamad Rashid & yule swahiba wake wa NCCR wanaishije nowadays VS vyama vyao
God Bless Tanzania...Tunashida nyingi za kushughulikia as country
jamani magazeti yanatuangusha-professionalism ,kwani kwenye gazeti hilohilo kwa ndani habari imegeuka.... hii inafanya kila mtu atake kuwa na gazeti lake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.