nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Hivi ni kweli baadae wamasai watashika dora?????waungwana nipeni mtazamo wenu
DORA ndio nini??
Hivi ni kweli baadae wamasai watashika dora?????waungwana nipeni mtazamo wenu
hoyeeeeeeeeeeeeee ila sio lazima kutwaa Ikulu, hta kuyanyoosha tuu mapito, yatosha!.watasubiri sana...
mwenzao huku anaendelea na strategies za kutwaa ikulu,
Lowassa hoyeeeeeeeeeeeeee
Pasco itikia!
Kuna watu wamemlaumu na
kumbeza Rais katika uteuzi wake
wa Baraza la mawaziri.
Wakuu, baraza la mawaziri ni hitaji
la kikatiba. Wawe mizigo au
wasiwe mizigo lakini sio utashi wa
Rais. Ni ngumu sana kufanya kazi
bila kuwa na mawaziri. Kwaiyo kwa
kukidhi hitaji la katiba ambalo Rais
hana option anajaza cabinet
miongoni mwa wale
tuliomchagulia. Sasa wengine
tulimpeleka Ole Sendeka, wengine
Lusinde, Wengine tulimpeleka Maji
Marefu, wengine tulimchagua Idd
Zungu, sasa rais anachagua humo
humo,
Na uteuzi wa Baraza la mawaziri
pamoja na factors zingine
hupaswa kuwa la Kitaifa. Kwaiyo
uiano wa mawaziri kimikoa
wanayotoka ni muhimu sana.
Otherwise utajikuta huna cabinet
ya kitaifa. Kaondoka Nchimbi wa
Ruvuma kaingia Jenista wa
Ruvuma. Amefariki Mzee wetu
Mgimwa wa Iringa amekuja
Mgimwa mwingine wa Iringa. Yule
mkabila wa Ngorongoro katoka
amekuja Tetele sijui Telele nae ni
wa jamii ya wafugaji. Rais hachagui
hovyo jamani...Na ninaamini ni
moja kati ya kazi ngumu sana rais
aliyonayo kupanga safu ya
Mawaziri. Kwa kuzingatia uwiano
huo kawapata hao. Otherwise kwa
dodoma Nkamia angeachwa
angeteuliwa Lusinde na kadhalika
na kadhalika. Mnyonge
mnyongeni....
Una hoja ila ni nyepesi. nasema hivi kwa sababu katika uteuzi tukiangalia atokako mtu basi itabidi tuangalie pia kabila lake,dini hata rangi pia twaweza kufikia huko. Waziri haendi kufanya kazi kwa ukanda wake tu bali kwa taifa zima. Hivyo cha kuangalia ni uwezo na uadilifu. Na kama J.K ametumia kigezo hicho cha atokako mtubasi atakuwa kakosea na kupotoka pakubwa.
Liwalo na liwe. Watolewe tu
aliteuli kwasababu ukurugenzi wake wa director of administration wizara ya ardhi uliasisiwa na sponsor mkuu alipokuwa wizara ya ardhi kama wizara kama sikoseibadala ya kuuliza kwanini ameachwa , hebu jiulize kwanini aliteuliwa ?
Mabadiliko ya baraza la mawaziri yameleta sura mpya lakini pia yamewaondoa baadhi ya waliokuwepo. Mmoja kati ya walioondolewa bila kutarajiwa ni mh.ole medeye aliyekuwa naibu waziri wa wizara ya ardhi ,nyumba na maendeleo ya makazi. Je ni nini kilichomfanya naibu waziri huyu kuachwa. Je ni zile tuhuma kuwa anafanya siasa za ukabila arusha? Au ni 'kuonekana ikiwa bega kwa bega' na 'kujionyesha waziwazi' akimuunga mkono mh.lowasa?...lakini pia pengine ni 'kuperfom' chini ya kiwango?..(ingawa mimi binafsi siamini kama hiyo inaweza kuwa ni sababu,kwani kuna wale 'mizigo' wamepeta)...ni nini siri hasa ndugu zangu?