Halima Mdee hana jipya

Halima Mdee hana jipya

Sawa kachukue mshahara wako lumumba makosa mliyofanya Ccm kwa miaka 50 mnataka chadema wayamalize kwa miaka 3 hilo aliwezekani na kama wewe ni mwana kawe utakuwa ni shahidi Mdee amejitahidi sana kuboresha miundomini afya na elimu bila kusahau mgogoro wa ardhi huko twiga cement

Mdee hana uwezo wa kuboresha miundo, afya wala elimu ila ni serikali pekee. ukisema ni mdee nitakuuliza pesa ametoa wapi?
 
anamaanisha kashatiwa mimba.
Nalog off

Acheni matusi na hoja za kijinga hapa! Hata wewe mama yako ASINGE TIWA /MIMBA usinge log in hapa na kuleta pumba zako hapa. Kama katiwa mimba HUYO ndo mwanamke wa ukweli. Au mlitaka wawatie nyie? Kwani mwanamke asipotiwa tungepatikana hapa! Kama hauna la kuchangia acha mada ipite! Au yeye kupata huo ubunge na jinsi yake imebadilika?
 
Jamani kuongea tu si kipimo cha uwajibikaji! wengine hawapendi kukaa wanaropokaropoka!
 
Nini sababu ya mbunge kutoka Kawe ''HALIMA MDEE'' Kuwa kimya kiasi hicho, maana yake ni kwamba hana jipya? au yeye hafanyi kazi na media ila anafanya kimya kimya?

Binafsi natilia shaka uwezo wa Halima Mdee kama anaweza kushindana kwa hoja na Mbatia japokuwa alimbwaga kwenye uchaguzi mkuu uliyopita, BILA USHABIKI Mdee alishinda uchaguzi uliyopita sababu ya chama chake kuvuma sana si kweli kwamba alikuwa ana hoja nzito kushinda Mbatia..........

Halima Mdee atarudi kweli bungeni mwaka 2015?
NAWASILISHA.

Nasikitika kusema kwamba pamoja na kuwa mimi ni mwanaChadema, lakini nitamchagua Mh. James Mbatia Ubunge Kawe kama atagombea. Halima Mdee kanidisappoint sana...
 
SLIM SHADE kama jina lilivyo huna jipya juu ya hii clip. Mtamsikia Halima kwenye bomba yuko kwenye chama makini na brain yake iko active. Sasda muendelee na majungu ya vijiweni watu wanapasua nchi kwa chopa kuanika mambo ya kifisadi. Jitayarisheni kisaikolojia kama Bondeni walivyojitarisha kuishi bila Madiba. Kisomo cha kuunganisha sawa na Waziri Mulugo.
 
barabara za mbezi bado ni tatizo, maji salalasala na kinzudi pia ni muarobaini.Mheshimiwa ps take note maana 2015 si mbali.twajua wafanya kazi mazingira magumu lakini tembelea wapiga kura wako hasa hayo maeneo na naamini yako mengi huku jimbo la Kawe . Kumepoa Mheshimiwa
 
Mleta mada kifaa unachotumia kufikiria kinamatatizo makubwa,kimevurugwa sana..
 
Back
Top Bottom