Malecela Ni Mzee,
Huyu ninavyomjua mimi ni mtu mbinafsi, ni mroho wa madaraka, alitaka kupaka madarak, Nyerere akataa.
Huyu bwana ni Fisadi wa akili, amewalaghai sana watu kwenye kampeni nyingi. Nadhani kwa ushauri, apumzike kabisa na asijaribu
kujihusihsa na kampeni za mwaka...