Recent content by Comi

  1. Comi

    JamiiForums Tanzania Siasa iwekwe pembeni katika maisha ya wananchi

    Habarini wanajukwaa. Sasa hivi wimbo wa Taifa unakaribia kubadilika na kuwa baa la njaa. Wengi wetu wanachukulia kisiasa zaidi na wengine kinadharia zaidi. Tunaposema kuna njaa lazima tuangalie visababishi ambavyo mara nyingi huwa ni ukame, mafuriko au ugonjwa wa mazao n. k Sasa kiuhalisia...
  2. Comi

    JamiiForums Tanzania Handbrake

    Sidhani kama mfumo wako wa gari uko salama. Pamoja na baadhi ya wachangiaji kukupa moyo ila kuihalisia hand brake ikiwa sawa gari haliwezi kutembea kwa umbali mrefu. Ingekuwa ni hivyo pasingekuwa na umuhimu wake. Chukulia gari linamzigo na ni kwenye mlima halafu ukasimama kwa kupitia hand...
  3. Comi

    JamiiForums Tanzania Tairi Imara kuliko Zote!

    Zipo madukani. Shida iliyopo hata baadhi ya wauzaji hawajui matumizi ya matairi.wengine wanaagiza Na kutumia matairi ya mazingira ya baridi wakati yuko dar
  4. Comi

    JamiiForums Tanzania Rav 4 old model:Msaada tutani

    Pole sana. Kwa haraka Anglia diff mounting inaweza kuwa imekatika Raba zake.hata we we mwenyewe unaweza kuangalia kwa kimwambia MTU awe anaweka gia Na wewe uiangalie
  5. Comi

    JamiiForums Tanzania Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

    Wewe wasema tecno hapana wakati nchi yetu hakuna kitu hata kimoja cha kielectronic kinachouzwa nje
  6. Comi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari used, nina milioni 4

    Ongea na mods wampe onyo maana kwa hali hiyo ni kuwatapeli watu
  7. Comi

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud Aliekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aula kimataifa

    Chama chetu hakitaki mtu aje na misimamo yake. Tunataka afate matakwa yetu hata kama ni ya kuwakomboa wananchi.
  8. Comi

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    Nini lengo lako hasa? Je elimu yake inasaidia nini katika maisha ya leo?
  9. Comi

    JamiiForums Tanzania Dr. Kafumu: Tuliahidi kumpa Dangote ardhi, gesi, makaa ya mawe, limestone kwa bei nafuu

    Hivi nani aliyeingia nao mkataba? Hao unaowatetea hawakujua hayo mambo? Nani asiyejua ulaji uliokuwa unapatikana ndani ya chama? Ccm wenyewe ndiyo wakwanza kuliga dili. Mda huu hatuongelei porojo. Jibu hoja za kafumu na dangote kinadharia na siyo kimaneno. Dangote hana miaka miwili kuanzia...
  10. Comi

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Series ya 24 season 9 na kuendelea anisaidie

    Halafu wewe umefanana na jamaly
  11. Comi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari used, nina milioni 4

    Anatania huyo. Hata kama gear box mbovu si hiyo bei
  12. Comi

    JamiiForums Tanzania Rais apingwa tena: Msajili wa HAZINA asema si kosa shirika kufungua fixed account

    Kuna waziri alikurupuka na kusema wanamshauri mkulu na anaekeleza ushauri
  13. Comi

    JamiiForums Tanzania Rais apingwa tena: Msajili wa HAZINA asema si kosa shirika kufungua fixed account

    Kwa kijana yuleee
  14. Comi

    JamiiForums Tanzania Upi Mtandao Wako Wa Kwanza Wa Kijamii Kujiunga/Kuutumia?

    Umenikumbusha mbali. Hivi bado ipo?
  15. Comi

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli Madarakani umetosha kumzika Lowassa kisiasa

    Ndivyo walivyofundishwa
Back
Top Bottom