Natafuta Gari used, nina milioni 4

Natafuta Gari used, nina milioni 4

Unapata tu, sio kila gari la bei ndogo ni bovu.
Kweli mkuu mi nimepata starlet granza kwa m3 iko poa kabisa,hivi nimefika mbeya toka dar na kesho nageuza,usawa huu wa kuisoma namba unapata kitu kizur kwa hela ndogo tu cha msingi uwe na uelewa kidogo juu ya magari!!
 
1480580857105.jpg
1480580863754.jpg
1480580870947.jpg
 
Ukitaka kuona mengi ingia fb mtafuta group moja linaitwa magari sokoni utayaona mpaka m3
 
hio pesa unapata gari nzuri sana..usiwe na papara.....usifate maneno ya wakosaji
 
Wadau naomba msaada wenu Mimi hapa nilipo Nina milioni 4 je ninaweza kupata gari nzuri ya kutembelea

Ndio unapata, kuwa mvumilivu.
Jihadhari na matapeli.
Ukipata hakikisha fundi wako analikagua gari, check na TRA kama halidaiwi hlf usilipie pesa kabla hujaandikishana mkataba, kupewa kadi original na kukabidhiwa funguo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom