Tairi Imara kuliko Zote!

Mkuu hapo kwenye red wengi hatuzingatii na pesa iko wapi ?Swali kwako je hazipo zinazotumika katika mazingira yoye namanisha zimetengenezwa kwa akiri ya rough road na lami?

Zipo madukani. Shida iliyopo hata baadhi ya wauzaji hawajui matumizi ya matairi.wengine wanaagiza Na kutumia matairi ya mazingira ya baridi wakati yuko dar
 
Acheni story. Bridgestone ndio mpango mzima. Kwa barabara za kwetu na michangarawe na mawe bridgestone dueller ndio yenyewe. Bridgestone pia wametengeneza tairi inaitwa "bridgestone drive guard" unapata pancha na upepo kukuishia ila unatembea na pancha kilomita 80 bila kuharibu tairi.
 
Bei yake ikoje?
 
Mzee hizo tairi za kutembea ukiwa hata na pancha zinaitwa run flat tires...karibia kampuni zote kubwa za matairi wanatengeneza hizo..Bridgestone ni nzuri ila huwezi iko mpare na Michelin au continental.hao watu hawakosei..continental sport ya usa unakaa nayo 5 to 6 years kama ww ni mtu wa town tu..ila ndo ujipangeeeeee
 
Sasa kati ya Michelin, continental na BF Good rich nani zaidi??
 
Mzee hizo tairi za kutembea ukiwa hata na pancha zinaitwa run flat tires...karibia kampuni zote kubwa za matairi wanatengeneza hizo..Bridgestone ni nzuri ila huwezi iko mpare na Michelin au continental.hao watu hawakosei..continental sport ya usa unakaa nayo 5 to 6 years kama ww ni mtu wa town tu..ila ndo ujipangeeeeee

Bridgestone anaongoza kwa overall matairi bora duniani. Istoshe kwa minimum anakupa guarantee ya 80,000 km tyre wear wengine wote 60,000. Michelin na pirelli ni nzuri kwenye lami na sport cars. BF kwa ajili ya offroad. Continental sio wazoefu kwa barabara zetu. Ila all terrain bridgestone ni kitu kingine
 
Pasipo kujali swala la BEI, naomba tujuzane kulingana na experience ni matairi gani imara zenye kustahimili aina zote za barabara. Ni kweli kuna aina na makampuni mengi ya ndani na nje ya nchi zinazozalisha matairi. Sasa hebu tusaidiane kwenye hili?M
You are wellcome all for your valuable
contribution
Bei ndio huamua ubora,sometimes.
Uliza bei za Michelin.,BF Goodrich, Dunlop, then nunua mojawapo, njoo tena jamvini
 
UOTE="Mbalamwezi1, post: 18320701, member: 189983"]Hakuna kama YANA hapa TZ,we chunguza magari yote ya kazi ngumu,hapa nazungumzia TLC-Toyota Land Cruiser-Hard Top au Mkonga za kule halmashauri nyingi zimefungwa YANA
Ww mkenya,nn[/QUOTE]
BF Goodrich,Kumho????
 
Back
Top Bottom