Kumbe ndio maana walikiuka kanuni makusudi badala yaJaji Warioba kumalizia wakaanza nae ili rais aje amwage ----- kwenye hotuba ya jaji, aonekane hana maana pamoja na tume yake.
Hotuba zilikuwa za hayati mwalimu JK (Rest in peace) mpaka hivi leo ukisikiliza ni lazima mwili usisimke, utake usitake utakaa kimya huku ukitamani asimalize kuhutubia. Mimi siangalii tena natoka nje kibarazani kuangalia kunguru.
Usiogope pamoja na hayo yote, wenyeji wa huko ni wasukuma kabila linalosadikiwa kuwa ni watu waungwana wasio na makuu, nina imani utaenjoy, maisha ni rahisi sana. You are very lucky.
Kipindi hicho kabla dunia haijavaa miwani ya jua ilikuwa ni sifa katika jamii kuwa una nguvu kazi ya kutosha katika familia. Kwa sasa dunia itakushangaa haijalishi hata kama unao uwezo wa kuwahudumia, mambo yamebadilika.
Wakati mwingine kuna matukio ambayo naamini huwa ni nadra kutokea.
Sikia hii: Siku moja nilisafiri kutoka Dar kwenda Mza kwa basi. Katika kiti cha mbele yangu alikaa dada mmoja mrembo, baada ya kufika Chalinze aliniomba nimwitie wale wachuuzi wa bidhaa ndogondogo kwani mimi nilikaa dirishani...
Pole kwa kupasua kichwa. Ukweli ni kwamba siyo wewe tu bali matiti ya wanawake wote hayalingani kwa ukubwa hata kwa kusimama ni sawa tu na zilivyo zile kuta za ile midomo yenu ya chini (Weka mbali na watoto) kwa kujiangalia mwenyewe hauwezi kuona tafuta mtu unaemwamini kama yuko mbali bas ni PM...
Katika maisha yako usije ukaoa mtalaka au mwenye mtoto unless awe amefiwa na huyo mzazi mwenzie. Kusema hivyo mimi nilishauriwa na wazee wangu nikakaidi wakati huo penzi limeshika hatamu, lakini baadae nilijionea mwenyewe. Mimi ninae mzazi mwenzangu pamoja na kuwa alishaolewa lakini mawasiliano...
Kutokana na utaalam wangu wa kubaini mambo, hakika wewe ni msukuma. Nategemea siku moja tutasikia matukio uliyokutana nayo ulivyokuwa ukichunga ng'ombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.