Unajua kuwa ......

Unajua kuwa ......

Ukimpenda sio lazima nae anakupeda?

Ukiwa muaminifu huenda nae sio muaminifu?

Ukimjali huenda yeye hakujali?

Jisimamie na usifanye hayo kwasababu ya mtu mwingine bali kwasababu umejua kuwa ni kwa faida yako mwenyewe!

Pumba tupu.
 
Hata haeleweki, zitakuwa ni bia za kununuliwa zimemchanganya.
 
Dalili sio kitu halisi
Unaweza kudhani unaona dalili za kupendwa kumbe unajidanganya mwenyewe

Unaweza kuona dada unakuchekea ukadhani anakupenda kumbe kila akikuona anakuwa anamkumbuka mwanae jinsi anavyokuwa na uso kama wako anapokuwa na njaa!!!!!!!!

Naam hili nalo neno. Mkuu nimekuelewa.
 
Not everything.

Why did you say that nothing last forever?

When you said that nothing mean you know everything,if you don't then why you say "nothing"?
 
Back
Top Bottom