Kweli unampenda huyo mwingine?
Kwa sababu u can move heaven and earth..destroy families and relationships. Hurt souls and hearts. Break hopes and reasons to believe in goodness of men.
Mwisho wa siku unakuta it was just a spur of the moment, na yeye humpendi kihivyo and u'll cheat on her too.
Hebu kaa chini ujiulize is that what u want?
Kumbuka hata huyo unayeishi naye ulimpenda. Tena kwa sababu nyie ndo mnaonana kila siku na bado anataka umuoe unakuja kujua she is the only one who has even gave all up for u. Who truly love u. Kwenye hii dunia iliyojaa utapeli it really is important kuishi na someone u can count on. Hata kama upendo umeshuka, are u sure u have done everything u could to save ur relationship? ama ulikuwa busy kwa huyo mwingine?
Do u know hata ukiwa na huyo bado usipoulea upendo utaisha pia?
Kaka mkubwa mwisho wa siku utakuja gundua haya mambo bana unaangalia unayeweza kuishi naye. Love is choice. Hata walio ndoani kuna kipindi upendo hushuka. Haina maana ndoa ndo imeisha.
Jaman jaman nimeshtukaje?? ucje ukawa ndo baba mtoto wangu mbona ntachanganyikiwa
Ninaishi na mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja ila hatujafunga ndoa.
Home kwetu wanamfahamu, kwao pia wananifahamu.
Kiukwel kwa sasa nimefall sana kwa mwanamke mwingine ambaye ndiye hasa natamani awe mke wangu wa ndoa.
Tatizo linakuja, huyu wa pili ni dini tofauti na mm japo yu tayari hata nikafunge naye ndoa ya Kiserikali, japokuwa na yeye anawasiwasi kama wazazi wake watalikubali hilo kwani wameishika dini yao kweli kweli.
Huyu wa home naye kila kukicha ananiuliza vp ndoa, nampiga calendar.
Yule mwingine kanipa Go ahead niende kwao natest ali kama wazee wake watakubali.
Nimeshidwa kwenda sijui nitaanzia wapi kumuacha huyu ninayeishi naye.
Kwa mawazo yangu, hata kma nitafunga ndoa na huyu ninayeishi naye, nitamcheat siku zote a maisha yangu sababu ninayempenda ndo hivyo kuna vikwazo kati yetu.
Nifanyeje wandugu?
una ushaur mbaya yani,wsh one day yakukute hayo ndo utajua nini maana!Pangeni fumanizi la kizushi na huyo mtarajiwa wako, huyo uliyenae ni lazima atafungasha virago kwa hiari yake, kisha taratiiibu unasogeza.
hahahaaa umenichekesha sana...............