Tujikumbushe kidogo Primary School.

Tujikumbushe kidogo Primary School.

Sasa sasa sasa saa ya kwenda kwetu..kwa heri Mwalimu kwaheri...tutaaa...mie siku nyingi nishaiba mifagio ndukii
 
hauruhusiwi kwenda nyumbni mpka karanga,bagia za mwlimu ziishe ama sivyo mkope ili ziishe mruhusiwe.
 
nilikuwa napiga filimbi vibaya. wimbo wa taifa, mwendo wa pole, mwendo wa haraka. nyimbo za franco yani balaaa.
 
Kuna mvulana alikua ananioneaa ananitaka wakati mi sijui hata mapenzi utamu wake,alikua ni monter basi kwenye majina ya wapiga kelele nilikua sikosi hata kama sijaongea
Akiniona na kitu eti lazima nimpe basi nikimnyima atanipigajee na mie akinipiga siendi staff kushtaki nanyoooka moja kwa moja home huku naliaa,nikifika home aunt yangu ananirudisha mpaka shule anashtak kwa mwalimu huyo kijana atachapajwee!!!!!
Halaf hakomi kesho yake ananidunda tu weeee siku moja nikamtoleaa uvivu tulipigana mpaka akaja mwalm mkuu alimchapaa tokea siku hiyo sikuwah kumuongelesha tokea darasa la 5 mpaka la 7 ,kwenye graduation ya darasa la saba akawa ananidenda kekii nikamnyimaa,yaaan wanafunzi wotee mwenye keki nilikua mie tu lol nilidendwajeeee, huyo kijana nasikia sasa hiv ni mganga wa kienyeji huko Tabora lol alinionea hua simsahau huyu Haruna
 
Kutokana na utaalam wangu wa kubaini mambo, hakika wewe ni msukuma. Nategemea siku moja tutasikia matukio uliyokutana nayo ulivyokuwa ukichunga ng'ombe...
 
Kuna mvulana alikua ananioneaa ananitaka wakati mi sijui hata mapenzi utamu wake,alikua ni monter basi kwenye majina ya wapiga kelele nilikua sikosi hata kama sijaongea
Akiniona na kitu eti lazima nimpe basi nikimnyima atanipigajee na mie akinipiga siendi staff kushtaki nanyoooka moja kwa moja home huku naliaa,nikifika home aunt yangu ananirudisha mpaka shule anashtak kwa mwalimu huyo kijana atachapajwee!!!!!
Halaf hakomi kesho yake ananidunda tu weeee siku moja nikamtoleaa uvivu tulipigana mpaka akaja mwalm mkuu alimchapaa tokea siku hiyo sikuwah kumuongelesha tokea darasa la 5 mpaka la 7 ,kwenye graduation ya darasa la saba akawa ananidenda kekii nikamnyimaa,yaaan wanafunzi wotee mwenye keki nilikua mie tu lol nilidendwajeeee, huyo kijana nasikia sasa hiv ni mganga wa kienyeji huko Tabora lol alinionea hua simsahau huyu Haruna

Subiri asome hapa akurushie zongo la mtu mzima moja kwa moja toka Tabora.
 
''Ili nchi iendelee inahitaji mambo manne, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora, shikamooo mwalimu'' Hiyo ilikua ndiyo salam mwl akiingia darasani. Mkiitwa majina sasa utasikia, ''jana na leo''
 
Dah! Wale wa viini macho mimi nilikuwa nawapenda sana wakija sikuli,nakumbuka kuna mmoja alitafuna nyembe akletewa maji akameza alafu akanya peremende.
 
darasa la kwanza hiloo...,acha nikazimike kadem fulan iv.,nkaona nitoe ya moyoni kwa maandishi!(barua),c unajua zile verse za zaman.,cjui nimetokea kkpenda,usiku nikilala nakuota.,n.k..Kale kadem acha kanichenjie mapgo..kakaipeleka barua kwa mwalim wa zam..ticha alivo mnoko akaisoma parade..ilikua bonge la noma nkikumbukaga nacheka sn asee!
 
Mmh! La kwanza? Wengne tunajifunza a e i o u, mwenzetu unajua kuandika barua za mapenzi! Yuo were gifted!
 
Mitihani ya imla, na madaftari ya mistari mikubwa na midogo. Maticha wanoko dunia nzima mixer na kutafuta maksi kwenye somo la sanaa.
 
Nakumbuka kitabu cha

Juma na Loza

..something Pazi aaagh nimeshaanza kusahau

Sent from Nokla using Jf app
 
Nimekumbuka aaagh kutembea na kioo then mstarini unaweka chini ya skirt ya msichana ili upige chabo..dah enzi hizo bana hapakuwa na simu bila waya, wala internet

Sent from Nokla using Jf app
 
kabla ya kuwa kiranja wa elimu, nilikua time keeper, namkumbuka sana mwalimu wangu wa sayansi aliyekua ananipenda sana na yeye pia kupendwa na wanafunzi wote shuleni kutokana na upendo wake kwa wanafunzi, wakati nikiwa kwenye kengele ya shule ndio nagonga ile ya kwenda nyumbani, akaniambia, kijana soma sana na hakikisha unafanya vizuri maana elimu ndio msingi wa maisha bora, she was pregnant and kwa bahati mbaya she died while giving birth, huwa namkumbuka sana mwalimu wangu kwa wosia wake mzuri sana..
 
Back
Top Bottom