Recent content by Coloneli

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

    Adui mkubwa wa CCM ni Chadema, ndiyo maana kwao wanafanya kila wawezalo kuhakikisha hiki chama hakisongi mbele, wanatumia kila fursa waliyonayo kufanikisha hilo. Ndiyo maana tunao polisi ambao badala washughulike na usalama wa raia na mali zao, wao wako bize kuwabambikia kesi watu wa Chadema...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

    Unakumbukaga ile picha alionyeshaga gari lililomteka Mo? Hivi huwa hapitii aliyoyafanya jana, juzi? Aibu sana kwa NCHI
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mimi nina wazo hili miaka mingi, nina mtaji wa eneo kama eka moja na ushee kule Vigwaza, linatosha kabisa kuhifadhi nguruwe hata mia
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mimi nina eneo kubwa tu Vigwaza pale, tuingie ubia au kama utataka kununua
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. milioni 1 ninaweza kulima pilipili kichaa?

    Nijibiwe wapi?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Shindano: Kama hujawahi kukomenti kwa emoji, jishindie 10,000/-.

    Nirushie mkuu, nimetaitiwa hapa balaa na hivi chama la wana linacheza leo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    Wabunge kupenda kuabudiwa kwa Uheshimiwa je?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuumunganisha/kumtàfutia mtu kazi harafu ukajutia kitendo hicho?

    Mimi bwana nina dogo wangu, mtoto wa babangu mdogo kabisa. Kila siku alikuwa akinipigia simnu yupo mkoani huko anaomvba aje mjini nimuunganishie kazi maana huko hali mbaya. Kweli bwanba, akadondoka town, nikakaa naye home kama miezi mitatu, badae nikafanikiwa kumuunganisha na mwananbgu mmoja...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. milioni 1 ninaweza kulima pilipili kichaa?

    Nimependa sana maelezo ya huu mradi. Mimi nipo Dar es Salaam lakini ni mwenyeji wa wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma. Kule kuna ardhi ya mimi kuweza kuwekeza katika mradi huu maana kuna uhakika wa soko. Ni maswali machache. 1. Je inawezekana kwa mimi kulima kutokea Mbinga? 2. Ile bei ya sh 5000 ni...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

    Andiko linaonyesha hasira. Linaonyesha wametupwa nje ya mfumo. Ni mwakilishi wa kundi lililokuwa likiumizwa na Kigogo. Lingetamani kuona ile hali ya kuwekwa wazi kwa mambo yao inaendelea. Ukimya wa Kigogo unawafanya waamini alikuwa akisaidiwa na wapinzani wao. Hawa ndiyo wale wanaoamini Mama...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri na wazi kuwa hawapingani na CCM bali walikuwa Wanachuki na Hayati Dkt. Magufuli

    Kwa hiyo vyama vya upinzani vilianza mwaka 2015?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Ishu siyo mtu, ni matukio. Huyu IGP aliwahi kuambiwa na Jiwe akiwa RPC DAR awanyang'anye hawa wajinga silaha haraka haraka na ndo maana ujambazi ulipungua wakati ule, leo mama kadokezwa kuwa ule ujinga umerudi so amemkumbusha Siro, asipime kina cha maji. Siku zote majambazi ni Polisi, yaani...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

    Askofu Josephat Gwajima ndiye askofu pekee mwenye ushawishi mkubwa Tanzania
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kama kila ukipata pesa unashikwa na kiu ya pombe au kufanya ngono, kijana safari yako ya maisha itakuwa fupi na yenye misukosuko

    Sio kila mtu anaishi kwa malengo yako. Kama wewe unafikiri maisha ni kuwekeza, hizo ni akili zako na mipango yako. Hivi mtu anatafuta pesa halafu anaenda kuipa roho inapenda kuna ubaya gani? Ugumu wa maisha ya uzeeni ni yake na ni sehemu ya maisha ambayo Mungu aliumba. Kuna mafukara kila mahali...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kupuuza kushiriki kongamano la dini ni aibu na fedheha kwa chama chao

    Mleta mada amekosea au? Kwani Chadema ipo, si ilishajifia? Maana tunasikia wananchi wa Tanzania waliikataa Chadema kwenye sanduku la kura na wakawapigia kura za ndiyo sisiemu wakajazana bungeni. Sasa watu hawatakiwi na wananchi, huko kwenye kongamano waje kama nani? Jamaa wanateseka sana
Back
Top Bottom