Ulishawahi kuumunganisha/kumtàfutia mtu kazi harafu ukajutia kitendo hicho?

Wgr30

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
1,763
2,000
Amang'ana ghenyu!

Niende moja kwa moja kwenye maada

Kama swali linavyouliza hapo juu, ilishawahi kukutokea harafu ukajuta kufanya hivo!!

Hapa kuna vitu viwili au zaidi vya kushare wewe utaona utuambie kipi,

1 Kumuunganisha mtu akapata kazi harafu akaharibu kazi ya mtu harafu lawama/mzigo ukabeba wewe.

2 Yupo bado kazini lakini lawama unazopata unaomba hata wamuachishe lakini mwenye kazi ni rafiki yako anahisi utamkosea heshima

Binafsi naomba kuongelea hiyo ya pili
Aisee kuna Dada hapa mtaani alikuwa hana kazi akaniambia anahitaji kazi nikamuahidi kulifanyia kazi swala lake.

Jumapili moja nikampigia rafiki yangu kuhusu nafasi ya kazi jamaa akaniambia niende na yule dada jumatatu, kweli nikafanya hivo

Dada akapata kazi na anendelea mpaka leo ila baada ya mda fulani jamaa akanipigia kunilalamikia kuhusu dada anadai Dada ni mzito sana, mbishi mvuvi balaa.

Siku moja nikamtembelea kazini kwake ahiiiiiiiiiiiiiii bhaghosha

Niliona aibu mwenyewe Dada ni mzito sana hakumbuki kabisa kipindi hana kazi hali ilikuaje kufika kazini asubuhi ndo hawezi kabisa.

Na wewe kama una kisa cha share nasi
 
Coloneli

Member
Aug 24, 2020
35
150
Mimi bwana nina dogo wangu, mtoto wa babangu mdogo kabisa. Kila siku alikuwa akinipigia simnu yupo mkoani huko anaomvba aje mjini nimuunganishie kazi maana huko hali mbaya. Kweli bwanba, akadondoka town, nikakaa naye home kama miezi mitatu, badae nikafanikiwa kumuunganisha na mwananbgu mmoja, akapata kazi hadi leo.
Ishu ni kwamba baada ya kupata kazi akjaanza vitimbwi. Mara akamnunia wife, mara akjahama home bila kuaga na hadi ninapoandika simu yangu hapokei
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,317
2,000
Amang'ana ghenyu!

Niende moja kwa moja kwenye maada

Kama swali linavyouliza hapo juu, ilishawahi kukutokea harafu ukajuta kufanya hivo!!

Hapa kuna vitu viwili au zaidi vya kushare wewe utaona utuambie kipi,

1 Kumuunganisha mtu akapata kazi harafu akaharibu kazi ya mtu harafu lawama/mzigo ukabeba wewe.

2 Yupo bado kazini lakini lawama unazopata unaomba hata wamuachishe lakini mwenye kazi ni rafiki yako anahisi utamkosea heshima

Binafsi naomba kuongelea hiyo ya pili
Aisee kuna Dada hapa mtaani alikuwa hana kazi akaniambia anahitaji kazi nikamuahidi kulifanyia kazi swala lake.

Jumapili moja nikampigia rafiki yangu kuhusu nafasi ya kazi jamaa akaniambia niende na yule dada jumatatu, kweli nikafanya hivo

Dada akapata kazi na anendelea mpaka leo ila baada ya mda fulani jamaa akanipigia kunilalamikia kuhusu dada anadai Dada ni mzito sana, mbishi mvuvi balaa.

Siku moja nikamtembelea kazini kwake ahiiiiiiiiiiiiiii bhaghosha

Niliona aibu mwenyewe Dada ni mzito sana hakumbuki kabisa kipindi hana kazi hali ilikuaje kufika kazini asubuhi ndo hawezi kabisa.

Na wewe kama una kisa cha share nasi
Ukisha mtafutia mtu kazi usiwe kiranja wake .tenda wema nenda zako

USSR
 
Kimwakaleli

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
1,523

Mimi nilipata shida,dada kazi kuangalia tv,mboga kila siku zinangulia kama mkaa!Si malalamiko hayo!
 
incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
1,676
2,000
nakujibu kinyumbani mura,/musubhati/mweseke/moghaka. hapa naamini ulisaidia mtu wa hilo kabila ulilotumia kutusalimia kwa hiyo lugha, kwa uzoefu wangu na hao watu ni watu wanapenda shortcut katika maisha ni watu wa fulsa boss akizubaa anapigwa alafu mtu anasepa anakuachia kesi, sio wavumilivu, ni wepesi kususa, ni watu wanapenda kujipendekeza waonekano wema ili wapewe nafasi uliyonayo wewe pia ni watu wakatili sana. sijawataja ila mtoa post na wachache watawafaham mimi wanenighalimu hadi nikisikia mtu anadalili za hao watu huwa navunga kama sijui hata anachozungumza ninamengi ya kushare ila nahofia nitawaharibia wadogo zangu cv wenye nia nzuri kama mimi maana hata mimi nilipo nilipata wakunishika mkono ila kila nikijaribu mimi kushika mtu mkono anaachia na ananiangusha nami pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
benruby

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
261
250
Kuna vitimbi na Visa kutoka wife zidi ya nduguyo,na kaona si vema kukushirikisha kwa sasa.nina Imani atakuja kukueleza wakati ukiwadia.Muombee kheri na baraka juu yqke wakati wote

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Adverse Effect

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
816
1,000
Timiza wajibu wako kwa kumsaidia mwenzako, kama ipo ndani ya uwezo wako halafu jisahaulishe. Usipofanya hivyo utajikuta inakua nongwa, kumsaidia mtu isiwe sababu ya kumfuatilia. Riziki anagawa Mola.
 
kimwaga88

Member
Dec 18, 2012
25
45
Jamaa mmoja aliniomba kumtaftia mtu wa kusaidiana naye kuuza mgahawa, malipo angalau mazuri na muda ni asubuhi Hadi 12 jioni.

Nikaenda kwa mama mmoja hivi kwa heshima sana kumuomba binti yake aliyetoka kuhitim form6, majibu yake yalinikatisha tamaa sana.

Alisema lololooo! Mwanangu hawezi kwenda kuuza mgahawa Bora nikaenda nae nikidunduliza nae gengeni...Eeh mgahawa?
Nikaaga Kama mkosefu kwa kujiuliza kwanini nilienda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom