Recent content by COLE

  1. COLE

    Kilimo cha Kahawa kina faida kubwa

    Kilimo cha kahawa kina faida kubwa kwani mavuno yake unalipwa kwa dola. Kwa mfano ekari moja ambayo unapanda Miche 800 na mche mmoja kununua na kuupanda gharama yake Tshs 500. kwa Miche 800 sawa Tshs 400,000 na kutunza kwa miaka 3 gharama Tshs 1,200,000 jumla kuu Tshs 1,600,000 mwaka wa tatu...
  2. COLE

    Senzo Mbatha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kulenga kuihujumu Simba

    Simba wanatafuta mbuzi wa kafara na wao walitaka Sana Senzo afike polisi waaminishe wanachama wao kuwa wamefungwa kw kuhujumu
  3. COLE

    Senzo Mbatha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kulenga kuihujumu Simba

    Bw. Senzo Mbatha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwenye kituo cha Oysterbay. Inaelezwa sababu ya Senzo kushikiliwa na jeshi la polisi ni kuhusiana na tuhuma za mawasiliano yake na Hashim Mbaga yanayodhaniwa yalilenga kuihujumu Simba (kupanga matokeo na rushwa) kwenye michezo kadhaa. Hivi...
  4. COLE

    Hali ya Lowassa ni mbaya sana. Tumwombee...

    Hivi wewe ni Daktari wake?
  5. COLE

    Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

    Mambo ya bapa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. COLE

    Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

    Happy Ngansala Sent using Jamii Forums mobile app
  7. COLE

    Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Photo copy mashine isikose Sent using Jamii Forums mobile app
  8. COLE

    Bonge wa Clouds FM jina lake halisi anaitwa nani?

    Anaitwa Said Sent using Jamii Forums mobile app
  9. COLE

    Joseph Kasheku Musukuma anaposema 'Shahada za Makaratasi' anamaanisha nini?

    Ana maana digrii za kupewa tu mtu alifeli kabebwa bebwa kapewa au digrii za chupi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. COLE

    Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali kujiuzulu iwapo itathibitika Wakulima wa korosho hawalipwi Tsh. 2,640 badala ya Tsh. 3,300

    Dodoma. Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amesema atajiuzulu ubunge ikiwa mbunge au waziri atathibitisha kuwa wakulima wa korosho hawalipwi Sh2,640 badala ya Sh 3,300 kwa kilo moja kama ilivyoahidiwa na Rais John Magufuli. Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Februari 2, 2019 bungeni jijini...
  11. COLE

    Wallace Karia: Kuna ma-Tundu Lissu wa kwenye mpira

    Katika mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Rais Wallace Karia amewaonya wale wote wanaojifanya ni kina Lissu wa mpira na kuweka wazi kuwa hatacheka nao. Karia ameeleza kwa manufaa ya mpira wa Tanzania ni lazima viongozi wawe na nidhamu na kuheshimu kanuni na miongozo ya...
  12. COLE

    Kisutu, Dar: Mahakama yamuachia huru Tido Muhando, yamkuta hana hatia

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  13. COLE

    Ushauri: Nilipita mpakani bila kugongewa Muhuri wa kuingia wakati nikirudi Tanzania

    Italeta shida kuwa ni tabia yako fanya ukagonge namanga Sent using Jamii Forums mobile app
  14. COLE

    Kisutu, Dar: Mahakama yamuachia huru Tido Muhando, yamkuta hana hatia

    Leo Mkurugezi wa Azam media atakuwa mbele ya Hakimu kusikiliza hukumu yake hope atashinda Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom