umepotea njia na wajionyesha ni jinsi gani usivyostahili hata kupewa u kiranja wa darasa la shule ya msingi kwa usivyoweza kupima wapi na lini u post nini. pole sana, ni vema mkakaa kimya ili kulinda japo heshima kidogo iliyobaki. kukaa kimya si kuwa mjinga, kajipange upya.
Mi naona ni vema wangeweka utaratibu pia wa kuonyesha kiasi unachodaiwa maana wengine tutaanza hata kuongezewa figure. ni heri wangeongeza link kuwa u click jina lako upate more details
Memo umenichekesha sana na picha hii. so wameanza na mkuki, kisha jembe, wakashika na nyundo kabla ya kugeuka kitimoto na kuanza kuvamia kila palipo na rasilimali zetu. Hatimaye wamegeuka f.i.s. wanaokoteza kila kilichobaki kwa maslahi binafsi.
Uhai yanachakachuliwa hata mimi hapa Dar nayanywa nikikosa kilimanjaro au cool blue. kuna kipindi waliwahi kumuuliza mmiliki wa uhai kuhusu ubora wa maji kuwa chini akasema kuwa yeye hafanyi biashara ya maji bali ya chupa ndo kisa kaweka bei chini. akasema maji anaweka kama bonus so endapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.