Dr Maro afariki dunia

Dr Maro afariki dunia

bishanga na wewe
hizo ndizi aziivi mwaka wa pili huu jamani
 
ufafanuliwe atafufuka lini??ama

hebu acha utoto kwenye swali la msingi.mimi nawafahamu kina dr maro zaidi ya watatu.sasa angalia hiyo taarifa ilivyo halafu useme ni maro yupi.kuna dr maro wa clauds,kuna dr maro wa muhimbili,kuna dr maro kcmc na wote hao sifahamu majina yao ya kwanza.
 
kuna dokta anaendesha kipindi cha njia panda kwenye radio ya clouds anaitwa isaack maro ndo yeye au wanamahusiano?
 
hebu acha utoto kwenye swali la msingi.mimi nawafahamu kina dr maro zaidi ya watatu.sasa angalia hiyo taarifa ilivyo halafu useme ni maro yupi.kuna dr maro wa clauds,kuna dr maro wa muhimbili,kuna dr maro kcmc na sifahamu majina wote hao yao ya kwanza.

nawafahamu kina dr maro:

sifahamu majina wote hao yao
:

CYA ETIHAD GROUND 1600PM
 
Na yule mwenye clinic ya moyo pale mavuno house mjini ni ndugu yake au ni yeye alikuwa akimiliki pia? RIP Dr.
 
na yule DK MARO WAPALE USERIIIIIIIIIIIIIIIII KINDYOKYAKOSEMBE ANAEUZA MBEGE WANA UHUSIANO NAE??
 
kuna dokta anaendesha kipindi cha njia panda kwenye radio ya clouds anaitwa isaack maro ndo yeye au wanamahusiano?

kaka huyu anaitwa fanuel isaack maro alikuwa mzee sana hata hiyo mic ya clouz angeijaza mate
 
nasikitika kupoteza mtu wa muhimu sana huku old moshi. Mungu amlaze pema! Wajukuu tunakuombea.
 
RIP daktari wetu na Mungu awatie nguvu wanafamilia wote
 
Kaka ana uhusiano na huyu Maro wa hapa udsm??

je ni yule aliyekua daktari wa mhe.mzee mkapa?

hebu acha utoto kwenye swali la msingi.mimi nawafahamu kina dr maro zaidi ya watatu.sasa angalia hiyo taarifa ilivyo halafu useme ni maro yupi.kuna dr maro wa clauds,kuna dr maro wa muhimbili,kuna dr maro kcmc na wote hao sifahamu majina yao ya kwanza.

Mkuu Meningitis ;

Hebu na wewe sema! Maana imebadilika kuwa kejeli! Personally najua zaidi ya Dr F Maro Watatu!! Alafu soma ujumbe wa mtoa taarifa ya msiba!! Kwa aliye na taarifa za zaidi hili haliwezi kuwa tatizo hata kidogo. Lakini maswali bado yanakuwa mengi kwa mtu asiye na taarifa za zaidi kama zilivyotolewa hapa!! Pasingekuwa na adhari zozote kama tairafa ingetoa maeelzo na mwanaga wa kumtabulisha muhusika ilikuondoa utata kama ambavyo unaweza kuonekana!! Ni ushauri tu ..unaowezwa kuchukuliwa au kuachwa ...! Kwa sasa tunaweza kabisa kuachana na hayo na ikawa ni hakima na busara zaidi!!!

... Tena Poleni kwa wafiwa!!
 
R.I.P Dr Maro.
pole kwa wafiwa.
 
kisina, kikari, doris, grace, rose,mourine, na sechi tuko pamoja nanyi ktk msiba huu. Mungu awape nguvu ya kuweza kuvuka kipindi hiki cha majonzi.
 
Poleni familia ya Docta. Mungu ampumzishe mahali pema, amen
 
Nilifiki Dr Maro aliyenifundisha Geography pale UDSM!Poleni wafiwa!RIP Dr Maro
 
Back
Top Bottom