Kiukweli mradi una changamoto nyingi lakini mi inayonikera zaidi na ambayo naiona kuwa itawaharibia ni uendeshaji mbovu wa mradi kwenye nysnja ya utoaji tikets , unaweza kaa kituoni zaidi ya saa moja unaambiwa tiketi zimeisha. Nadhani ni vizuri uwekwe mfumo wa kufanya tiketi ziwe zinapatikana...
baba mwenzio kaomba nauli tu ya hako kataksi unakuja kuomba ushauri , ukiambiwa umnunulie tiketi ya ndege si utajinyonga .
tuma nauli huko acha ubahili
Alichokujibu ni sahihi sana tuuu ,
Tatizo la vijana wengi huwa tunajiwekea vikwazo wenyewe ,
yaani unaanza kufikiria kukosa wakati hata majina hayajatoka ,!!!!!!!!
ona kwanza kama umekosa then Rudi hapa tukushauri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.