Msaada kwa wenye uelewa na bodi ya mikopo

Msaada kwa wenye uelewa na bodi ya mikopo

kato Kazi

Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
38
Reaction score
21
Mimi kabla sijamaliza f6 nilikuwa najua mtu mwenye ufaulu wa wastani kama division two ya 10-12 anaweza kupata chuo cha serikali kama DUCE, MUCE au hata UDOM nikajitahidi kadiri ya uwezo wangu kusoma ili nikifanikiwa kufaulu niwe na vigezo vya kupangiwa hata chuo cha serikali kuepuka ada ya vyuo vya private kilichonikuta niliangukia division two ya 10 HGK nikaomba ualimu vyuo vya government nimekosa.

Kuna mtu kaniambia kuwa bodi ya mikopo ikishaona umechagua chuo cha private wanaona una uwezo wa kujilipia ada na wanaweza kukupa mkopo asilimia chache sana hivi ni kweli usemi huo?

Maana second round TCU hakukuwa na vyuo vya serikali kwa faculty zangu na kwa upande wangu wana ndugu uchumi unayumba nisaidieni ili nianze kufikiria itakuwaje kama ni ukweli.Nitashukuru sana.
 
Vigezo vya kupewa mkopo vyote vimeandikwa guidelines za board,
 
Inategemea na program utakayochaguliwa ni most wanted au veep...
Form ya mkopo ulijazajee pia
Fomu ya mikopo haikuwa ikionyesha hali ya uchumi wa wazazi/ familia, kilichokuwepo ni hali Ulemavu tu. Laiti kama wangetupa nafasi za kujieleza ahfadhali. Unakuta familia nyingi ni masikini sana ila wazazi Sio vilema. Hili ni tatizo kubwa... Hadi wengine tunakimbilia vyuo vyengine vinavotoa mkopo wa masomo kama vile Muslim University of Morogoro.
 
subiri bodi watoe majina ndo utajua la kufanya
 
Mwaka hu pia bachelor of arts with education ni non priority ,ukipata mkopo jpo kdg ka kweli unajua unachoktafuta utajbana boom adi unamalza ,point yko imenkmbsha nloptia lkn nmemalza ,private ada kdg IPO ju
 
Fomu ya mikopo haikuwa ikionyesha hali ya uchumi wa wazazi/ familia, kilichokuwepo ni hali Ulemavu tu. Laiti kama wangetupa nafasi za kujieleza ahfadhali. Unakuta familia nyingi ni masikini sana ila wazazi Sio vilema. Hili ni tatizo kubwa... Hadi wengine tunakimbilia vyuo vyengine vinavotoa mkopo wa masomo kama vile Muslim University of Morogoro.
karibu MUM au hupendi kuja huku maana statement statement yako hapo mwisho
 
Mkuu mkopo huwa ni probability siku hizi hawaangalii kama ww ni mlemavu au la au umesoma shule za private au la pesa siku hizi wanatoa kulingana na idadi ya wanafunzi waliodahiliwa na kiwango cha pesa kilichopo..kuna ambao wanapata Pesa ya chakula tu, ada wanajilipia so kuna sababu nyingi ambazo hazikowazi katika ugawaji wa mkopo
 
Mimi kabla sijamaliza f6 nilikuwa najua mtu mwenye ufaulu wa wastani kama division two ya 10-12 anaweza kupata chuo cha serikali kama DUCE, MUCE au hata UDOM nikajitahidi kadiri ya uwezo wangu kusoma ili nikifanikiwa kufaulu niwe na vigezo vya kupangiwa hata chuo cha serikali kuepuka ada ya vyuo vya private kilichonikuta niliangukia division two ya 10 HGK nikaomba ualimu vyuo vya government nimekosa afu kuna mtu kaniambia kuwa bodi ya mikopo ikishaona umechagua chuo cha private wanaona una uwezo wa kujilipia ada na wanaweza kukupa mkopo asilimia chache sana hivi ni kweli usemi huo? Maana second round TCU hakukuwa na vyuo vya serikali kwa faculty zangu na kwa upande wangu wana ndugu uchumi unayumba nisaidieni ili nianze kufikiria itakuwaje kama ni ukweli.Nitashukuru sana.
1474805625069.jpg
 
Bodi ya mikopo haiangalii chuo kama ni cha serikali au private,tunachotakiwa kujua ni kwamba taarifa zako ulizo jaza kwenye fomu ya maombi ya mikopo ndizo zinazo tumika kukupimia ni kiasi gani cha mkopo upate na si vinginevyo
 
Kwa siku hizi hizo form ni kama ticket tu ya kuonesha kuwa unahitaji mkopo...watu huwa wanaweka taarifa lakini hazizingatiwi kama inavyotakiwa mkuu... So ni jambo la kuomba Mungu tu Neema ishuke
 
Back
Top Bottom