Recent content by Cofta

  1. Cofta

    Mambo ya kuzingatia ukitaka usifanikiwe

    Bado kidogo tutaipata tu
  2. Cofta

    Dada wa kazi ni mchoyo sana, nifanyeje?

    Hilo jukumu muachie mkeo, na kama wewe ndo ke basi unafahamu jambo lakufanya kwenye familia yako
  3. Cofta

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Passenger - life's for the living
  4. Cofta

    Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Equity iko poa Nimeshaona matawi yao posta, mwenge, mbagala, temeke, k/koo na maeneo ya pale quality center, na bado gharama za kutoa hela kwa wakala wao bado zipo chini kuliko mitandao ya simu
  5. Cofta

    Je, kuna umuhimu mume/mwanaume kumuachia mwanamke usukani wa gari? safari zote mwanamke afanye?

    Hapo sawaa mkuu nimekuelewa vyema maana mie akili yangu ilikuwa kwenye SUV 4WD
  6. Cofta

    JamiiForums Usiku wa manane

    03:57
  7. Cofta

    Je, kuna umuhimu mume/mwanaume kumuachia mwanamke usukani wa gari? safari zote mwanamke afanye?

    Aisee kumbe huwa nahatarisha usalama wa magari ya watu, mie huwa naona kawaida tu tena huwa natembea kibati ili kufukia rasta na mashimo madogo madogo
  8. Cofta

    Je, kuna umuhimu mume/mwanaume kumuachia mwanamke usukani wa gari? safari zote mwanamke afanye?

    Mkuu hapo kwenye "kuvurugwa tumbo" umenifanya nicheke sanaa aisee. Ila rough road nyingine zipo vizuri utadhani ni mkeka
  9. Cofta

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Mna mbegu za minyonyo yenye asili ya jamaica? (Jamaica Castor beans)
  10. Cofta

    Mwongozo ni vitu Gani vya kuzingatia unavyopelekwa mara ya kwanza kutambulishwa ukweni

    Ni kweli mkuu hapo mkeo alikuokoa sana ila pia wazazi wake walikuwa waelewa. Sehemu nyingine wazazi wake wanasema uende tu wakakuone ila ukifika utakachokutananacho hautakaa uamini. Unaweza ukaanza kuwachukia tokea siku hiyo maana utakutana na mambo magumu ambayo haukuwa umejiandaa kukutananayo
Back
Top Bottom