INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Mkuu Lily Tony ,apple vipi inaweza kuleta matokeo mazuri kwa maeneo ya masasi na tunduru
boss apple zinastawi vizuri kwenye mikoa yenye joto kiasi,kiwango kikubwa cha mvua na baridi.
Mikoa kama Mbeya,Arusha,Iringa etc apple zinastawi vizuri.
Masasi ni pwani ,hutapata matokeo mazuri sana hasa kama unalima kibiashara
 
Asante
 
Miti ya mbao inayopatikana kwenye vitalu vyetu ni
1.Cederella
2.Pinus
3.Eucalyptus
4.Teak
bei ya mche ni sh 2000
 
Screenshot_2021-02-26-11-37-28-1.png
 
Ndio boss,Korosho unaanza kuvuna kuanzia miaka 2-3 .Bei ya mche ni 2000 Ila ukichukua kuanzia miche 50 bei ya mche ni 1500.Karibu
Mkuu naweza kupata vipimo vya kupanda korosho??

Kwa heka moja inakaa miche mingap??

Je kwa mikoa ya pwani muda mzuri wa kupanda korosho ni lini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom