Faida za mbegu za kiume kwa mwanamke

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
KAMA ULIKUWA HUJUI:

Hizi ndizo faida anazopata mwanamke pale mwanaume anapofunga goli wakati wa tendo la ndoa (Kumwaga mbegu)

(1) Humtengenezea mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa na virutubisho vingi vya protini.

(2) Humsaidia mwanamke kutengeneza ngozi yake kwa virutubisho vya shahawa na sio kupaka usoni.

(3) Humuongezea mwanamke urembo zaidi hasa wa macho. Macho yanakuwa meupe na mazuri zaidi.

(4) Husaidia mwanamke kuwa na sauti nzuri zaidi kwa kuwa shahawa hutengeneza ala nzuri za sauti katika mfumo wa sauti.

(5) Husaidia mwanamke kuwa na akili nyingi zaidi katika mfumo wa fahamu. Shahawa hukimbilia katika muundi wa mgongo na kumfanya mwanamke kuwa na mgongo na mifupa imara na milaini.

(6) Humfanya mwanamke kutokuwa na tatizo la kupoteza fahamu na maradhi ya kuchekacheka.

(7) Husaidia kizazi cha mwanamke kisiwe na maumivu ya mara kwa mara.

Kwa hiyo mwanaume unapotoa mbegu zako kwa ufupi huwa unapoteza madini ya aina nyingi sana ila huwa hupotezi bali unakuwa umetoa kuufaidisha mwili wa mkeo..

Hii ni ishara kwamba mwanaume ni tegemeo kwa kila kitu.. ndiomaana kila kona anafanyika baraka na msaada kwa wanaomzunguka hasa mwenza wako wa maisha.

Kama umeelewa ujumbe huu gonga cheers kwa kila mwanaume
 
Wewe umepata faida zote hizi?
 
Mkuu ila sio mbegu za walevi. kama dada jamaa ako n mlevi huu ushauri achana nao utakuja kunishukuru.
 
kwani shahawa huwa zinazunguka mwili mzima wa mwanamke au huwa zinaishia kwenye K t??
 
Mmmh ww nipe source maana najua sperms hazifik popote?
Na kuhuu urembo mwanamke akifanya mapenzi akaridhika plus matunzo flani ivi mfulizo ndani ya miez mitatu anakuwa ua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom