Me Kwa sasa sipokei card ya mchango wa harusi ya mtu yeyote hata awe rafiki yangu.
Kipindi naoa mwaka 2019 sikutaka kusumbua mtu nililudi zangu kijijini kwetu na pesa angu 2M, nikanunua ng'ombe 1, kilo 250 za mchele na mazagzaga mengine ya jikoni, mapambo, mc na keki. Watu walipewa mwaliko wa...
Mwamba unafeli pakubwa kufata ushauri wa madactari kwenye malezi ya mtoto.
Wao wenyewe hawafanyi hivyo bali wanalazimika kutoa ushauri huo kutokana na muongozo wa wizara ya afya. Mimi mtoto wangu wa kwanza nilizingatia sana ushauri wa daktari cha kishangaza dogo afya yake haikai vizuri sana na...
Me nilijaza form zao za kuomba kulipwa then wa scan vidole vyangu na waksema baada ya mwezi Moja Hela itatoka basi nikaenda zangu shamba kupiga fegi nikisubiri mshiko l.
Habari za weekend wadau wa JF.
Naomba kujua inachukua muda gani kulipwa fedha za Nssf baada ya kukamilisha maombi?
Binafsi nilikamilisha maomba ya kulipwa nssf zangu Kwa fingerprint takribani miezi zaidi ya 10 imepita lakini sijalipwa Hela zangu.
Kwa sasa nipo napambana na kilimo cha fegi...
Kiongozi sikupingi lakini nafikili ww ndio una matatizo hayo au mke wako tu ndio mwenye matatizo hayo na sio waha wote.
Binafsi me sio muha lakini jamaa yangu alioa muha wa huko kasulu kamleta dar, tukaona jamaa kapotea kuchukua mke kigoma wakati dar wapo warembo kibao.
Jamaa etu alimfungulia...
Mimi ni mkristo lakini waisilamu Wana heshima sana Kwa waume zao na pia wana roho nzuri ukilinganisha na wanawake walio wengi wa kikristo.
Lakini pia waisilamu kuoa wake wengi hiyo karata waliicheza vizuri sana, lakini sisi wakristo ka mke kamoja yaani hakatoshi kabisa hapa tulipigwa na kitu...
Kama una mkwanja wa kutosha vuta sony android tv 4k.
Haya mengine ya china sijui TCL ni takataka achai watumiaji wa simu za tecno wayanunue ndio tv zao hizo.
Sina gari lakini nakujibu.
Kama unatoa gari kanyaga brake pedal, toa handbrake, weka drive gear or reverse gear kulingana na uelekeo wako then release brake pedal slowly sepa zako.
December nikivuta NDINGA yangu takuwa nishakuwa na abc za safe driving.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.