Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,357
- 12,305
Uyu jamàa kakushauri vizuri, angalia unahitaji Nini Ili update chaguo sahihiAhsante kiongozi Kwa ushauri mzuri, nitazingatia sana ushauri wako
Uyu jamàa kakushauri vizuri, angalia unahitaji Nini Ili update chaguo sahihiAhsante kiongozi Kwa ushauri mzuri, nitazingatia sana ushauri wako
Kama una 560,000 hakikisha unapata 6GB RAM 128 GBHivi hii Redmi note 10pro napata Kwa Bei Gani mkuu, nkaitafute huku najua Bei yake
In short, Redmi Note 12 ni chagua salama zaidi kati ya hayo mawili alioyatajaMwambie ukweli tu , in detail
Hii ni dustKama umeshindwa kununua iphone chukua samsung naona utojutia uamuzi hizo brand zingine ni tia maji
Kaka naomba abc za Samsung A54 nataka nijilipue next monthIn short, Redmi Note 12 ni chagua salama zaidi kati ya hayo mawili alioyataja
mkuu, ebu zita izo samsung za maana za 400kSamsung hata sound system ni kali mkuu. Camera balaa. Halafu usikariri simu. Nenda dukani, utakutana na simu kali mpya za Samsung OG tena bei chee. Samsung ukiwa na 400k to 600k una vuta kitu cha maana.
Mkuu Model za As, A04s, nk ni nyingi.mkuu, ebu zita izo samsung za maana za 400k
chukua redmi note 12Wadau wa JF nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.
Naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu, nichukue simu ipi kati ya hizo mbili hapo juu Kwa kutazama
Performance, quality and technology.
Zote ni 128gb Memory.
Karibu Kwa maoni na ushauri mana nimechoka kutumia Infinix.
Nimeandaa cash 500k.
sasa mbona ya kawaida sanaMkuu Model za As, A04s, nk ni nyingi.
Sasa laki 4 ulitaka simu gani? Ongeza hela. Hiyo ulinganishe na Redmi?sasa mbona ya kawaida sana
Mtoa mada achukue Redmi note 12 aachane n hiyo galaxySasa laki 4 ulitaka simu gani? Ongeza hela. Hiyo ulinganishe na Redmi?
Laki 7 bora asake xiaomi note 11 5g new edition ni bora zaidiKama una 560,000 hakikisha unapata 6GB RAM 128 GB
Kama una laki 6 hadi 7 hakikisha unapata yenye 8GB RAM 128GB ROM
Samsung Galaxy A54 ni simu nzuri sana. Hapa Bongo ukiwa na laki 9 ukipata yenye 8GB RAM 256GB ROM sio mbayaKaka naomba abc za Samsung A54 nataka nijilipue next month
Ndio ukubali kuwa kwa laki 4 simu bora ni Redmi Note 12Sasa laki 4 ulitaka simu gani? Ongeza hela. Hiyo ulinganishe na Redmi?
upande wa camera vip mkuu maana wengne camera nayo ni kipaumbele chetuKama una 560,000 hakikisha unapata 6GB RAM 128 GB
Kama una laki 6 hadi 7 hakikisha unapata yenye 8GB RAM 128GB ROM
mkuu upo vzuriSamsung Galaxy A54 ni simu nzuri sana. Hapa Bongo ukiwa na laki 9 ukipata yenye 8GB RAM 256GB ROM sio mbaya
Uzuri wake
*Design iko poa, inafanana na Galaxy S23+
*Utapata kamera poa sana, hata selfie camera inarekodi 4K videos.
*OLED display, 1000nits, 120Hz na rangi ziko accurate sana
*Unapata Android 13 na One UI 5.1
*Utapata 4 years of major Android updates na 5 years One UI updates. Hii iko mbele kuliko wapinzani kwa mfano kwenye Google Pixel 7A unaweza kupata 3 years of software support, au kwenye Xiaomi Poco F5 utapata 3 major Android updates na 4 years MIUI updates, kwa hiyo tunaona Pixel 7A itakuwa supported hadi 2026, Poco F5 itakuwa supported hadi 2027 Ila hii A54 itakuwa supported hadi 2028.
*Utapata sehemu ya kuweka memory card
*Ina IP67 rating na stereo speakers pia
*Inatunza Sana chaji
Ubaya wake
*Ila chipset yake ni Samsung Exynos 1380 kwa hiyo performance yake ipo chini kuliko wapinzani wake kama Google Pixel 7A ambayo ina Google Tensor G2 na Xiaomi Poco F5 ambayo ina Qualcomm Snapdragon 7+ Gen 2. Kwa hiyo note down, kama wewe sio heavy gamer basi A54 itakutosha, ila kama unataka performance kubwa ni heri uchukue Pixel 7A au Poco F5
*Slow charging, actually charging ni slow kuliko wapinzani. A54 ina 25W charger kwa hiyo kuichaji itachukua zaidi ya saa moja. Ila A54 inatunza sana chaji kwa hiyo sidhani kama 25W haitoshi ila wapinzani wako faster zaidi. Akina Xiaomi ambao wanatumia dakika 30 hadi 45 kujaza simu kutoka asilimia 0 hadi 100
*Kwenye box kuna simu na waya tu. Hakuna charger, kwa hiyo unapaswa kutafuta charger mwenyewe.
Samsung Galaxy A54 ni chaguo bora sana na ni ngumu kutokushawishi ununue simu hiyo. Licha ya kuwa A54 ni midrange bado unapata long software support, design nzuri kama S23+, kamera bora kuliko washindani wenzake wa bei hiyo, software yake in features nyingi kama S23 series tu kasoro feature ya Samsung DeX, ina IP67 rating kwa hiyo ni water resistance, ina sehemu ya kuweka memory card, kamera ya mbele inarekodi video nzuri sana. Kwa nini usinunue simu kama hiyo. Nunua tu usifikirie mara mbili mbili
Binafsi ningechukua Poco F5 kwa sababu ni bora kuliko A54 kwenye sehemu nyingi, ukianza na Qualcomm Snapdragon 7+ Gen 2 ambayo ni SoC bora kuliko hata Snapdragon 8 Gen 1. Pia inakuja na 8GB/12GB RAM badala ya 6/8 GB RAM ya kwenye A54, Poco F5 haiji na storage ya 128GB bali zote zina 256GB tu tofauti na A54 ambayo ina hadi 128GB version, pia inakuja na 3.5mm jack.
Ila sasa Poco F5 ni mpaka uagize kutoka China kupitia AliExpress.
Hivi mkuu Xiaomi kwa sasa nikitaka simu nzuri kwa budget ya 850K utanishauri nichukue simu gani?Kama unapata mpya kwa bei sawa chukua Samsung Galaxy Note 9
Ila kuwa makini, hizi Note 9 zilikuwa na matatizo mengi mfano kioo chake kupata green tint issue. Nimeona Note 9 kama tatu hivi zilizokumbwa na hili tatizo na mitandaoni nimeona case nyingi sana, sijui hata ngapi
Kama unataka current software nunua Redmi Note 12 na of course utapata features nyingi kwenye Redmi Note 12 kuliko Galaxy Note 9
Kama unaweza kudownload custom ROM basi download kwenye hiyo Galaxy Note 9 ili uweze kupata walau current software "Android 13" ingawa ni risky
Binafsi ningechukua Redmi Note 12 kwa sababu Galaxy Note 9 imepitwa na muda na bado ipo Android 8 huko. Najua itakuwa refurbished tu. Matatizo kibao
hujui simu tupishe,samsung gani mpya laki 4? A series?Kama hujui kitu tulia. Ume soma comment za juu? Au una rukia tu