Recent content by Cod-2

  1. Cod-2

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu Leo vipi kati ya Napoli na Fiorentina nibetije ?
  2. Cod-2

    Bodaboda mnawahi wapi?

    Bagamoyo sehemu Gani mkuu?
  3. Cod-2

    Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe: Uhai & Kilimanjaro

    Dew Drop kutoka sumbawanga Wana packing nzuri Sana especially ile chupa Yao ndogo..
  4. Cod-2

    Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Mimi nna miaka Zaidi ya 10 tangu meno yaache kunisumbua, nilikuwa naumwa meno Hadi navimba fizi shavu Zima. Lakinia niliambiwa nisukutue kwa mkojo Hadi Leo meno yalipona yaliyokuwa na mshimo uwa yanakatika yenyew taratibu bila maumivu yoyote, Hadi nilikuwa nashangaa ilikuwaje meno yameacha...
  5. Cod-2

    Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    Morogoro haifiki hata kwenye robo ya Kasulu kigoma.. morogoro nimekaa miaka mwili nimeenda Hadi Ifakara. Lakini Kasulu ipo juu, unakanyaga chini mguu unatitia kwenye vumbi alfu jekundu. Kigoma ni hatari kwakweli..
  6. Cod-2

    Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    Mkojo unatibu vidonda vya tumbo pia .. unaweza ukatumia kama alivyosema mleta Uzi yaan ukanywa mapafu mawili au matatu ya asubui Yale... Sema kikubwa upimwe afya yako usiwe na magonjwa kama UTI na mengine kama hayo ... Ikibid kunywa maji usiku ili ukiamka asubui mkojo wako usiwe mchafu Sana kwa...
  7. Cod-2

    Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

    Ukiongezea na Rubya, Kagondo kwa ufupi ni hospital nyingi za makanisa zinazoshirikiana na serikali
  8. Cod-2

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Habari mkuu, ulipata title ya Uzi wenyewe naomba kuupitia kama ulifanimjwa
  9. Cod-2

    Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

    Nimeangalia clip yake kwa MiladiAyo anasema aliacha Kazi baada ya fastJet kufunga bihashara na mshahara wake ulikuwa kama milioni Moja kwa pesa za Tanzania Wala siyo hizo Dollar..!
  10. Cod-2

    Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Hakuna uhusiano wowote ni majina tu. Majina ya kihaya hayafati Koo furani Bali ufata utashi wa wazazi na ndugu wa karibu wa mtoto anapozaliwa . Sana Sana yanakuwa yamebeba maana ya matukio au kumbukumbu flani..
  11. Cod-2

    True story; Madem wa UDSM ndani ya Malawi kusaka limbwata

    Mkuu mbona kimya mwendelezo uko wapi.!?
  12. Cod-2

    Utofauti wa majina ya vyeti vya kuzaliwa,Taaluma na Nida unaweza kukupelekea kukosa ajira na Hati zako za msingi

    Mimi mwenyewe Niko hivyo majina mawili kwenye vyeti vya elimu lakini matatu kwenye vyeti vya kuzaliwa na NIDA. Nilipata Kazi serikalini nilichofanya kabla ya siku ya interview nilienda kwa mwanasheria kula kiapo ndo inaitwa affidavit kwamba ndugu flan bin flan kama anavyotambuliwa kwenye vyeti...
  13. Cod-2

    Hii ikoje kwa Premio (F) 1490?

    Je mtengenezaji wa tairi alishauri upepo ujazwe wa kiasi hicho ulichojaza !? Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  14. Cod-2

    Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

    Kweli hii ndo 'Wagawe uwatawale'. Kama sio kupotezeana focus ni Nini.! Vyama vyote hivyo alfu eti Kila mtu anataka kushika madaraka. Kilichopo ni kuendelea kutengeneza nafasi Kwa Chama kimoja kusalia madarakani daima. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  15. Cod-2

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba betting site nzuri nataka nirudi kwenye gemu ya betting.. Sasa hivi nabet Kama starehe kwahyo ntakuwa naweka kile nilichonacho tiyari kukopoteza .. nilikuwa nabet Kwa umaskini na tamaa kipindi nipo chuo mwaka elfu 2018/19 ili kutafta hela ya kula nkawa naweka y Tamaa mbele nkawa naliwa...
Back
Top Bottom