Recent content by Clouds

  1. C

    Naomba niulize maswali kwa waziri Kawambwa haya kuhusiana na matokeo ya kidato cha nne

    ni kweli kabisa watoto hawasomi halafu wanategemea muujiza kufaulu wawaache wakauze vocha mitaani halafu tuchukulie kama ni kipindi cha mpito, Kama wanataka waendelee na elimu ya juu bunge lilpitishe wachukuliwe na mazero yao hihvyo hivyo na si kwa kuwaongezea perfomance ili waonekane wamefaulu...
  2. C

    Rais Kikwete amtembelea Mzee Yusuph Mzimba Muhimbili

    Kwa hili ametisha huo muda kautoa wapi? ilikua lazima aende yy? hata kama angemtembela kila mgonjwa hosp nzima. na barabara zilifungwa kupisha msafara! mh anyway.....
  3. C

    James Orengo of ODM is my role model

    kuna cku haya maneno yatawarudia, mkipewa hizo nafasi, wat goz around kamz around
  4. C

    Muuza CD/DVD za uchochezi akamatwa mkoani Simiyu

    Mbn hueleweki? mtoa mada anazungumzia cd,dvd za nn na ww unaongelea nn? ndo maana umefeli ujiandae kurisiti, hayo unayoyayungumza c ungeyaleta kama ww uliyaona umesubiri gari ingine ipite ndo urukie kwa mbele b straight 2ze topic mkuu
  5. C

    Ridhiwani yupo huku sasa!

    kwa hiyo income ya baba ake ulitaka ule ww? au ulitaka mpaka hela yake mwenyewe ndo anunue kivitz ndo uridhike? mzazi mwema anamuandalia mwanae mazingira mazuri kulingana na uwezo alionao, kwa hiyo mnataka kikwete hela zake awagawie watz wote ndo mtafurahi?
  6. C

    Ridhiwani yupo huku sasa!

    Mh jaman muwe mnamuogopa hata mungu kidogo mnavyoconclude kuwa ridhwan kilaza huku anaonekana anazidi kusonga mbele mnamaanisha nn? ukilaza wake mnaulinganisha na nan kwan lazima kuwe na base? hata ww ukiwekwa na watu wengine utakua kilaza, unaposema kilaza useme kwa kidegree gan? au ni slow...
  7. C

    Ridhiwani yupo huku sasa!

    shule 2likua 2naambiwa ukitaka kujua ki2 sharti upractie na usione aibu, hapa kazi ipo kip it up!!
  8. C

    Hii ndio Butiama ya Nyerere

    Hv ulitaka hizo shida za huduma maji, shule, hosp etc uzikute kwenye kijj cha nan? au changu ndo ungeona sawa? au ulifikiri kuna kabajeti kadogo ndani ya bajeti kubwa kametengwa kwa ajili ya butiama2? huko kijjn kwenu mabomba yanatoa maziwa mpaka uickitikie butiama? tz ni moja mgawanyo wa utoaji...
  9. C

    Hii ndio Butiama ya Nyerere

    wanataka watafuniwe kila ki2, bila shaka amekurupuka baada ya kuona umemtaja kikwete,
  10. C

    Our Education System is a problem. It is Not the Teachers

    Chezea kienglish ww i hv nothing to put down here.....2tafsirie kwa kihaya che2 pliz 2jimwage
  11. C

    Wananchi wananyeshewa mvua kwenye vituo vya daladala, wahusika mko wapi?

    Mh! mambo ya kuulizana humu huyajui? au yanatakiwa yawasilishwe kwa style gan? ukisoma vzr mada inaonyesha direct ni kitu ambacho kimemkera yy na hapo ndipo ninaposema anaexpress hisia zake, kwa asilimia kubwa vi2o vingi vina sehem ya kukinga mvua, hata hvyo hako ni chembe kwenye matatizo ambayo...
  12. C

    Mkenya mwenye diploma anaajiri mtanzania mwenye degree au masters...hii imekaaje

    Jaman 2msamehe mtoa mada inawezekana katika zunguka yake kamuona huyo mkenya pekee akang'oa matairi na kuanza kumuangalia ka role model wake na hata kumtolea mifano kama alivyoeleza. 2mshauri azame zaid na kuona watz wangapi wamefanya hayo na katika mazingira yepi, pia 2silazimishe kila m2 akawa...
  13. C

    Mwigulu Nchemba awa kivutio KJ 823 Msange Tabora

    Hicho ulichoeleza ndo unaikiita kivutio? hayo c yakawaida2, acha ushabiki
  14. C

    Wananchi wananyeshewa mvua kwenye vituo vya daladala, wahusika mko wapi?

    Kazi ulizotekeleza ww ni zipi? na umefanikiwa kwa kiwango gan? na hao manispaa au tanroads unaowauliza wamo humu jf? jaribu kidogo kuusumbua ubongo wako ndg
  15. C

    Wananchi wananyeshewa mvua kwenye vituo vya daladala, wahusika mko wapi?

    Ha ha na anakuja kumuuliza nan humu jf anayetengeza hiyo sehem ya kusimama wasubiria daladala! kama ana uchungu nadhan angeuliza nan mhusika akapeleka maoni yake huko aone kama yanafanyiwa kazi au la, cku zote wa2 2jifunze humu c mwa kujadili hisia za watu, yaan kila unachotaka ww ndo kiwe...
Back
Top Bottom