Rais Kikwete amtembelea Mzee Yusuph Mzimba Muhimbili

Rais Kikwete amtembelea Mzee Yusuph Mzimba Muhimbili

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,458
Reaction score
4,673
[h=3]RAIS KIKWETE AMTEMBELEA MZEE YUSUFU MZIMBA ALIYELAZWA MUHIMBILI KWA KUGONGWA NA BODABODA[/h]

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Mzee` Yusuf Mzimba, mmoja wa wazee marufu wa Klabu ya Dar es salaam Young Africans (YANGA)

ambaye amelezwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiuguza majeraha kufuatia kugongwa na BodaBoda wiki iliyopita Barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam.

Mzee Mzimba amevunjika mguu wa kushoto na kupata majeraha ya usoni na mikononi. Hadi jana hali yake ilikuwa inaendelea vyema na Rais Kikwete amempa pole nyingi kwa maumivu aliyoyapata na kumtakia

apate nafuu ya haraka.

PICHA NA IKULU
 
Duh!haya bwaba,kweli jk mtu wa watu nimekubaliiii!
 
RAIS KIKWETE AMTEMBELEA MZEE YUSUFU MZIMBA ALIYELAZWA MUHIMBILI KWA KUGONGWA NA BODABODA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Mzee` Yusuf Mzimba, mmoja wa wazee marufu wa Klabu ya Dar es salaam Young Africans (YANGA)

ambaye amelezwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiuguza majeraha kufuatia kugongwa na BodaBoda wiki iliyopita Barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam.

Mzee Mzimba amevunjika mguu wa kushoto na kupata majeraha ya usoni na mikononi. Hadi jana hali yake ilikuwa inaendelea vyema na Rais Kikwete amempa pole nyingi kwa maumivu aliyoyapata na kumtakia

apate nafuu ya haraka.

PICHA NA IKULU

"pole sana mzee lakini naona timu iko vizuri sana"inawezekana alimwambia hivyo..
 
Kwa tabia ya polisi wa nchi hii hata kama kosa lilikuwa la huyo mzee dereva wa boda boda ataonewa!
 
sifa ya pekee kwa jk.
kubagua na kutembelea wagonjwa au misiba ya watu maarufu.. .
 
Haki ya kweli huyu rais hana kazi....yaani na matizo yote ya wabongo bado huwa anapata loose time kwa kiwango hiki! Kweli tumekwisha
 
Huenda hao wagonjwa wengine sio raia wake au hawakumpa kura za ndiyo mwaka 2010!

Kwa hili ametisha huo muda kautoa wapi? ilikua lazima aende yy? hata kama angemtembela kila mgonjwa hosp nzima. na barabara zilifungwa kupisha msafara! mh anyway.....
 
Nasikia huyu mzee ana mshiko wa kutosha!
 
Back
Top Bottom