Mwigulu Nchemba awa kivutio KJ 823 Msange Tabora

Huna lolote,kama umekosa cha kupost,kojoa ulale:wink:
 
Kwa tuliopitia jeshi ni moja tu tunalishangaa kuwa Kuruta anaruhusiwa kuvaa Skafu yake na mbaya zaidi ni Bendera ya Taifa inachanwa vipande maafande wamebaki bila kuwaadhibu hao watu. Nakumbuka tulikula adhabu kubwa sana baada ya kutokusimama wakati bendera inashuhswa, sasa kama imefikia hatua hiyo ya kuruta kuvaa skafu yake basi nasita kusema mafunzo ya nyakati zetu hayatorudi tena, ni afadhali Monduli mambo yako kama zamani.
 
kakutuma eeh. muulize keshajua lini wanamaliza jeshi?
tatizo la kuwa na wanajeshi wasomi; enzi zetu oljoro hakuna afande anaeremba. lmao
 
Halafu kina Lema,nassari na mnyika wanajiita makamanda, sasa ndio tunaona kina nani wanaume wa kweli.

Issue ni mzee wa kupora wake za watu hao wengine hasa mnyika majibu yapo kwa waliotaka umaarufu kupitia kwake nini kiliwapata kwa hiyo ukichanganya mada wengine hatukuelewi
 
Kumjadili mtu kama Nchemba Mwigulu ni kukosa fikra sahihi kwani huyu mtu hafai hata kuwa kuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi yaani "balozi".
 
Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba.

Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya.

Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya vijana wapatao zaid ya 1300.

Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia jezi aliyovaa.

Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake wakiliia maumivu.

Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli.

Kila heri MZALENDO
alfu kabla ya kumaliza jeshi waakikishe anawakabidhi list ya wauaji aliyonayo
 
Mtoa mada ni mwigulu mwenyewe anatafuta sifa za kijinga.aliwahi pia kujitumia sms za kujitishia akasema ni mbowe kamtumia.
 
Jaman huyu ni mwingulu anajipigia upatu huku jf huko jkt mtu wa kuripoti mazuri yake akiyashuhudia nani kama sio yeye au dreva wake naye amerusiwa hakuna anaripoti udhaifu wake tu. pia jeshi gani unapata kinachoendelea hebu bro. piga week zako 3 utualike kwenye graduation ceremony tuje na jk acha ushamba wa kuchunga mbuzi kwenye jesh serious ni mtazamo ukimand acha kama nassary
 
Wanapiga picha na wanasiasa? Watachukuliwa hatua kama huyu ....

attachment.php
 
I fail to understand with such a recognition shown, the way he is going to be "drilled" down to instigate Amy discipline in him. All recruits should be treated equal and "stamped" on to remove civilian mentality of rationalisation of orders before acting. This will be another movie in his political carrier which I believe will be short
 
naona yupo camp hayuko jkt ninayoijua mimi.
Katika hali ya
isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio
baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na
kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba.

Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana
mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya.

Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki
akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya
vijana wapatao zaid ya 1300.

Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa
kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia
jezi aliyovaa.

Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake
wakiliia maumivu.

Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo
kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli.

Kila heri MZALENDO
 
Halafu kina Lema,nassari na mnyika wanajiita makamanda, sasa ndio tunaona kina nani wanaume wa kweli.
Wewe uanaume wa Kweli wa Mwigulu mbona una uhakika nao sana???
Jinsia yako ni SHE au HE?? ????
 
Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba.

Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya.

Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya vijana wapatao zaid ya 1300.

Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia jezi aliyovaa.

Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake wakiliia maumivu.

Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli.

Kila heri MZALENDO

Hicho ulichoeleza ndo unaikiita kivutio? hayo c yakawaida2, acha ushabiki
 
Jaribu kuleta habari zenye umuhimu kwa jamii na sio kama hii,kumbuka idadi kubwa ya wanaoenda JKT siku hizi wengi wao ni darasa la saba au hao kawambwa victims (form 4 div 0)

My take:kwao kupiga picha akiwa na mbunge no matter ni wa chama gani hiyo kwake ni tukio kubwa.
 
Ndo mnavyojidanganya?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom