Wananchi wananyeshewa mvua kwenye vituo vya daladala, wahusika mko wapi?

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
Wahusika mnaosimamia kuakikisha vituo vya watu wanaosubili usafili wa Daladala jijini Dar, vinakuwepo tunaomba mtekeleze kazi yenu ni leo tu baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam yamekuwa na mvua sasa hadha kubwa ni pale wananchi wanapofika kituoni hamna hata sehemu ya kujikinga na mvua.

Nimeiona adha hiyo pale katika kituo cha Sayansi mnaofahamu sehemu ile kama unatoka Posta kwenda Mwenge kupitia Morocco (new Bagamoyo Road) mnaweza kukubaliana na mimi pale mvua inaponyesha sijui watu watajikinga wapi? Na mvua zinazoendelea kunyesha, na si hicho tu na vingine vingi katika Barabara mbalimbali havipo au vimetolewa.

Sijui ni Manispaa au TANROADS ndo wanahusika na kuweka vituo hivyo? Mtusaidie sisi wananchi ambao wengi ni watumiaji wa usafili wa Daradala.
 
Hapo sijui ILANI ya CCM inasemaje? Maana msemaji wao wa mambo ya barabara anatoa mipasho kule Musoma.
 
Mi-bongo kazi kulalama kila kitu! kwani ni vituo vyote?
 
Ha ha na anakuja kumuuliza nan humu jf anayetengeza hiyo sehem ya kusimama wasubiria daladala! kama ana uchungu nadhan angeuliza nan mhusika akapeleka maoni yake huko aone kama yanafanyiwa kazi au la, cku zote wa2 2jifunze humu c mwa kujadili hisia za watu, yaan kila unachotaka ww ndo kiwe hivyo, anataka kuniambia yy pekee ndo kaona? au ana lazimisha fani za wenzake...waandishi wa habari. wenzake huwa wanaenda hadi sehem husika ndipo wanaandika atakua kamaliza mwaka jana 4m 4c bure Kwan hajui kila ki2 kina bajeti yake sio kila ki2 umeona kiwe hv kinakuwa hvyo
 
Wahusika mnaosimamia kuakikisha vituo vya watu wanaosubili usafili wa Daladala jijini Dar, vinakuwepo tunaomba mtekeleze kazi yenu ni leo tu baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam yamekuwa na mvua sasa hadha kubwa ni pale wananchi wanapofika kituoni hamna hata sehemu ya kujikinga na mvua.

Nimeiona adha hiyo pale katika kituo cha Sayansi mnaofahamu sehemu ile kama unatoka Posta kwenda Mwenge kupitia Morocco (new Bagamoyo Road) mnaweza kukubaliana na mimi pale mvua inaponyesha sijui watu watajikinga wapi? Na mvua zinazoendelea kunyesha, na si hicho tu na vingine vingi katika Barabara mbalimbali havipo au vimetolewa.

Sijui ni Manispaa au TANROADS ndo wanahusika na kuweka vituo hivyo? Mtusaidie sisi wananchi ambao wengi ni watumiaji wa usafili wa Daradala.

Kazi ulizotekeleza ww ni zipi? na umefanikiwa kwa kiwango gan? na hao manispaa au tanroads unaowauliza wamo humu jf? jaribu kidogo kuusumbua ubongo wako ndg
 
ujui unachosema.
 
Mi-bongo kazi kulalama kila kitu! kwani ni vituo vyote?

Umesema kweli. Kulalama kumezidi. Ina maana mvua zinaponyesha wapanda pikipiki hukoma kusafiri? Mbona wanalowa pamoja na abiria wao? Je, Wachina walalamikiwe kwa kutoweka paa kwenye boda boda? Kama unalowa, tembea na mwavuli. Basi.
 
Kuna mtu ameiba password yako?au wewe sio ninayemfahamu?
 
Kazi ulizotekeleza ww ni zipi? na umefanikiwa kwa kiwango gan? na hao manispaa au tanroads unaowauliza wamo humu jf? jaribu kidogo kuusumbua ubongo wako ndg

Kulikuwa hamna haja ya forum kama hii,kama kila kitu kingekua tunaulizana juu kwa juu na kumalizana!
Wewe ndo mkandarasi nini?naona umemshupalia jamaa,hiyo id yako inajieleza manake ni wazee wa magumashi hapa mjini nadhani mmeingia hadi kwenye ujenzi baada ya kuwanyonya wasanii.
 
Mh! mambo ya kuulizana humu huyajui? au yanatakiwa yawasilishwe kwa style gan? ukisoma vzr mada inaonyesha direct ni kitu ambacho kimemkera yy na hapo ndipo ninaposema anaexpress hisia zake, kwa asilimia kubwa vi2o vingi vina sehem ya kukinga mvua, hata hvyo hako ni chembe kwenye matatizo ambayo yanaizunguka jamii ye2 na yatakiwa kutatuliwa, amekazana dar dar wat about kigoma, mtwara, kagera, rukwa etc kuna matatizo mangapi? amekazania kukinga mvua!!! hv kama kimeng'olewa wa2 waache kwenda kutatua matatizo sehem zingine kwa kuogopa ati wapanda daladala wa ki2o cha sayansi watanyeshewa mvua inakuingia akilin hyo? isitoshe 2naoviharibu ni cc wenyewe wanajamii 2jicontrol wenyewe na c kucha kulalamika ovyo
 
Back
Top Bottom