Betway miaka mitatu bil 20,mo dewji kanunua timu maisha kwa bil 20 hyo hyo na matangazo anafanya kwa bei ya nyanya,Simba bado Sana,mambo yao upande wa mwekezaji yamekaa kimagumashi Sana,siwezi kuvaa hyo jezi taka taka
Ayatollah sio sawa na Papa wa Kanisa Katoliki kwa uongozi wa kiroho katika Uislamu wa Shia. Ingawa Ayatollah, hususan Ayatollah Kiongozi Mkuu kama Ali Khamenei wa Iran, ana nafasi ya juu katika masuala ya kidini na kisiasa, hana mamlaka ya kiroho kwa Waislamu wote wa Shia duniani kama ilivyo...
Mwendo wa Jamaao (Relative Motion): Kila kitu kilicho juu ya Dunia, ikiwemo angahewa, ndege, helikopta, na sisi binafsi, kinazunguka pamoja na Dunia kwa kasi hiyo ya 1,674 km/saa (hasa kwenye ikweta). Kwa sababu tuko ndani ya mfumo mmoja unaosogea kwa kasi hiyo, hatuhisi mabadiliko yoyote ya...
Shida ya Simba inasababishwa na katiba na mwekezaji
1.Pale Simba mo dewji ili billion 20 za uwekezaji aliweka lini??
2.Je matangazo ya bidhaa za Mohamed enterprises kwenye jezi ya Simba je wanalipa kiasi gani??
3.Uwanja wa Simba ulioko huku boko umefikia hatua gani??kwann uitwe mo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.