Hapo wote wachafu si hao chadema wala ccm....woote wachafu tena mnatia aibu...hapa ukomboz kamwe hauwez kupatikan kwa njia ya siasa ya sasa ya tanzania nilazim tufikiri nje ya box...kam itawezekan tuongoz nchi kwa demokrasi ya kupokezana tupate vyam viwili tu....nikionacho mim chadem mkipata hii...
Akili za mtu changanya nazakwako....waislam hatulazimishwi kumuabudu binadam mwenzetu kwahio hiyo bakwata nahao mashehe wao ni watu kama mim nawawez kukosea pia.....mahakam ya kadhi tutaipata ila sikutoka kwa wanasiasa ama bakwata....nawanasiasa namaanisha wote c kutoka chadema cuf ama ccm
Mtoa mada unakurupuka na hii inadhihirisha huo ucritical thnker wako...na ingekuw vyema ungesema na chuo chako ili tuwape pongezi kwa kuwa critical thnker.....hivi unatumia kauli ya ujumla kwa group la watu fulani??!!kweli umefikiri vya kutosha? Au utasema hili kundi limewawakilisha wanafunz...
Hapa ninachoona ni kutozoea tu ila nisahih kwa jk kusem hivyo na hakumaanisha kam kutatokea hizo vurugu ila hao jamaa wakae mkao wa kula incase ikatokea....yaan ni tahadhar kabla ya hatari sio had itokee ndo aseme na najua kam asingesem halaf ije itokee stil tungelaum mana ndo zetu wabongo much...
Nimda wavijana kutuliza fikra na kupima mazito aliyoiafanyia nchi yake huyu kijana na pia kuangalia sababu wanazozitoa cdm kumfukuz uanachama....vijana tusiwe walev wa vyama ndani yakipind hiki cha harakati za kidemokrasia,...thaman ya zitto kwa taifa nikubwa mnoo....nitakuw wa kwanza kubeba...
The guy is talented...kwa anayoyafanya kwa tanzania ya sasa hakuna mwanasiasa wa upinzan anayewez kufanya....put evidence nasio siasa zile zile za kuzushiana....zitto ni mpiganaji na haitaji akili za ziada kujua hilo....ameifanyia mengi tanzania yetu...swala je hao unaowaabudu wameifanyia nin...
Jf kunawatu cjui wanafrika gani....tambua clouds ni media ya kibiashara hivyo kuangalia upepo ambao utakuw na soko ni jambo lakawaida....kama unatak anzisheni vituo vya habar vinavyomilikiw kwa pamoja ili kuleta usawa unaotaka...pia hatakam wanachochea bifu ilimradi inawalipa wataendelea kufanya...
Nssf nishirika kubwa lisoendeshwa kwa romours za mitandao ya kijamii hasA JF.....pili kinachosumbua watu wengi nikuona ramadhan anaongoz shirika halaf kinahamis na juma nao wakipata ndo taabu mana hamjazoea....ila mtazoea nahaya maneno yataisha ila najua muda unahitajika kwa hili ili kuzoea...
Nikweli watu wameanza kuitwa...tulishatolea maelezo kuwa yale majina sio sahihi....be patients na uwe karibu na simu yako mana simu zinapigwa hadi usiku!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.