Rais Kikwete awaambia Polisi wakae mguu sawa

Asubuhi ya leo wakati nasikiliza kipindi cha magazeti nilisikia statement iliyokuwa na ukakasi, kwamba Amiri Jeshi Mkuu amewaambia Polsii wakae Mguu pande kukabili vurugu wakati wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura, Kura ya Katiba Mpya na Uchaguzi mkuu.
Hii statement ya kuwatangazia polisi wetu maneno mabya kama haya, sio sahihi kabisa na kamwe haikubaliki.

Swali langu, kama Raisi ametangaza hadharani kuwa kutakua na vurugu na Polisi wajiandae, vipi Wananchi nao wakijiandaa itakuaje? Amani itapatikana kweli? Nadhani tuchunge sana sana kauli zetu kwenye kipindi hiki.

wananchi nao watakuja siku waamue kujilinda, itakua shida tupu. MUNGU tuepushie kauli hizi za viongozi wetu.
BAK tpaul MANI na wengine, hizi kauli si za kupuuzwa hata kidogo, ni kuwajengea watu tension ambayo si ya lazima. I stand to be corrected.

Wacha porojo, ulitaka Amiri Jeshi Mkuu asiwaambie askari wake kujitayarisha kukabiliana na vurugu kama zitatokea?

Hivi wanaposema ulinzi utaimarishwa unafikiri ina maana ipi?
 
Hivi Amri Jeshi huamuru mapambano ya ndani ya nchi dhidi ya wananchi wake?
 
Faiza usitoke povu, jaribu kutumia akili ya kawaidia ndugu yangu, acha mihemko kiasi hicho. Kama ni porojo ni za JK sio zangu
 
Hivi Amri Jeshi huamuru mapambano ya ndani ya nchi dhidi ya wananchi wake?
hapo sasa na polisi walivyokuwa psychological affected watapiga tu hata maandamano ya amani mtapigwa wakisingizia kutafuta amani.
 
Hahahhahahaha naomba ya Slaa uyafungulie thread yake, kwa sasa tuendelee na ya JK kwanza, ndio msingi wa hoja
Ameamuru mapapambno yepi na yeye amesema wajitayarishe kuzima vurugu ikiwa zitatokea.

Au zile kauli za "nchi haitotawalika" umezisahau? Jikumbushe:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/227572-slaa-kikwete-akipuuza-nchi-haitatawalika-26.html

Slaa alisema "kikwete akipuuza nchi haitatawalika" sasa Kikwete ndiyo anaonesha hajapuuza. Nini usichokielewa.
 
hii ni mojawapo ya kauli ya kishenzi kuwahi kutolewa na kiongozi wa nchi, sasa kama rais anatangaza mapambano si ni mwendelezo wa kauli ya wapigwe tu, hovyo kabisa
 
Hahahhahahaha naomba ya Slaa uyafungulie thread yake, kwa sasa tuendelee na ya JK kwanza, ndio msingi wa hoja

Mlikula mkong'oto na Pinda akasema "wapigwe tu" watakaoleta vurugu, mkatulizana, nchi ikawa shwari, mlikuwa mna "test"?

Sasa muelewe mapema kuwa kauli za wakubwa zenu ndiyo zinapelekea Viongozi wa nchi kuwaambia askari wajitayarishe maana bavichaa mnajulikana.
 
Asubuhi ya leo wakati nasikiliza kipindi cha magazeti nilisikia statement iliyokuwa na ukakasi, kwamba Amiri Jeshi Mkuu amewaambia Polsii wakae Mguu pande kukabili vurugu wakati wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura, Kura ya Katiba Mpya na Uchaguzi mkuu.
Hii statement ya kuwatangazia polisi wetu maneno mabya kama haya, sio sahihi kabisa na kamwe haikubaliki.

Swali langu, kama Raisi ametangaza hadharani kuwa kutakua na vurugu na Polisi wajiandae, vipi Wananchi nao wakijiandaa itakuaje? Amani itapatikana kweli? Nadhani tuchunge sana sana kauli zetu kwenye kipindi hiki.

wananchi nao watakuja siku waamue kujilinda, itakua shida tupu. MUNGU tuepushie kauli hizi za viongozi wetu.
BAK tpaul MANI na wengine, hizi kauli si za kupuuzwa hata kidogo, ni kuwajengea watu tension ambayo si ya lazima. I stand to be corrected.

kikwete ni mzigo na kama ameamua kuimwaga damu nchi hii basi na yake itamwagika tu
 
Last edited by a moderator:
hii ni mojawapo ya kauli ya kishenzi kuwahi kutolewa na kiongozi wa nchi, sasa kama rais anatangaza mapambano si ni mwendelezo wa kauli ya wapigwe tu, hovyo kabisa
Tumuombe MUNGU yasitokee haya ila kweli kama atatokea mtu akaongea ujinga kwa wananchi, hali itakua mbaya sana, ni lazima tujifunze kuchunga kauli zetu kwa gharama yoyote.
 
Faiza tuanze na hapo kwenye red kwanza, huyo ndio nani? Pili, kama umefikia uwezo mdogo kiasi hiki cha kukomenti mambo sensitive kishabiki basi sidhani kama hata nastahili kuendelea kukujibu, sikuzungumzia CCM wala Chadema hapa, nilizungumzia kauli ya Rais tena nikatumia Amiri jeshi Mkuu, nilidhani ungekua na akili kidogo tu ungeliona hilo lakini kwakua umemezwa na mihemko basi, sistahili kukujibu tena, ila kwa faida yako, sizungumziii vyama nazungumzia maslahai mapana ya Nchi, maana yatakapotokea hayo, mimi na wewe na ndugu zetu wote tutaathirika. Ni hilo ila kama utaendelea kuropoka endelea tu
Mlikula mkong'oto na Pinga akasema "wapigwe tu" watakaoleta vurugu, mkatulizana, nchi ikawa shwari, mlikuwa mna "test"?

Sasa muelewe mapema kuwa kauli za wakubwa zenu ndiyo zinapelekea Viongozi wa nchi kuwaambia askari wajitayarishe maana bavichaa mnajulikana.
 
Amiri jeshi huandaa vikosi vyake kuwa tayari kukabiliana na hatari yoyote ...ILA kuwaambia jeshi kujiandaa kukabiliana na vurugu zinazopandwa maksudi ni udhaifu category A....
Wacha porojo, ulitaka Amiri Jeshi Mkuu asiwaambie askari wake kujitayarisha kukabiliana na vurugu kama zitatokea?

Hivi wanaposema ulinzi utaimarishwa unafikiri ina maana ipi?
 
Wacha porojo, ulitaka Amiri Jeshi Mkuu asiwaambie askari wake kujitayarisha kukabiliana na vurugu kama zitatokea?

Hivi wanaposema ulinzi utaimarishwa unafikiri ina maana ipi?

Chei chei dada, kwa hiyo Kikwete ana askari wake mwenyewe anaowamiliki? Hizi kauli za kipuuzi sana badala ya kuwa na busara sasa amekuwa hasara huyu Rahisi asiyejielewa. Hebu amalize muda wake na ajikate zake watu tumeshamchoka na upuuzi wake pamoja na ngonjera zake zisizoisha pamoja na kejeli zake.

Even Hitler he was far much better than this THING called Kikwete
 
Tumuombe MUNGU yasitokee haya ila kweli kama atatokea mtu akaongea ujinga kwa wananchi, hali itakua mbaya sana, ni lazima tujifunze kuchunga kauli zetu kwa gharama yoyote.
ni hatari sana kuwa na raisi aliyechoka sana kimtazamo na mwelekeo badala yake yuko bize kuharibu nchi tu, sasa hivi ikulu pamegeuka kuwa toilet kila mtu hata vichaa wanataka kwenda kuongoza mtu kama mwigulu, kigwangala, nyalandu na makamba wanaweza kudhalilisha ikulu yetu kiasi hicho kweli? na sisi watanzania hatuko serious na nchi yetu ndiyo maana kila kichaa ananyea tu.
 
Hapa ninachoona ni kutozoea tu ila nisahih kwa jk kusem hivyo na hakumaanisha kam kutatokea hizo vurugu ila hao jamaa wakae mkao wa kula incase ikatokea....yaan ni tahadhar kabla ya hatari sio had itokee ndo aseme na najua kam asingesem halaf ije itokee stil tungelaum mana ndo zetu wabongo much know kwa sanaaaa
 
Back
Top Bottom