ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,716
- 5,283
Habarini wadau.
Kama mjuavyo Anko wenu navochacharika. Ndio ninaamini nikifanya kazi kwa bidii mambo yatajipa tu. Nikafanya kazi kwa bidii zote, Yaani kusema kweli nimejitoa kwelikweli. ukicheki rejista mi namba moja kuingia kazini na wamwisho kutoka.
Si hivyo tu nimekuwa mtiifu na mbunifu kwelikweli ili kuongeza valuu yangu may be watanifikiria kwenye inkrimenti. Lakini pamoja na mbinu zote hizi. Hola. Kamshahara kamebakia kalekale tu.
Nimefikiria labda kuna njia nyingine nyingine za kujiongeza ili mshahara wangu uongezeke lakini hola. Nimeona bora niliwasilishe kwenu munipe maujanja ya kutumia ili namimi nifikiriwe kwenye inkrimenti.
Ahsanteni.