hizo tetesi umezitoa wapi?Kuna tetesi kwamba NSSF wameanza kuita kwa ajili ya oral interview. Wadau kama kuna aliyeitwa humu atupe uhakika.
Kuna jamaa yangu kapigiwa cm ila yy ni kesho operation officer. ..oral
Kuna jamaa yangu kapigiwa cm ila yy ni kesho operation officer. ..oral
Mi nimepigiwa cm mchana kwa vda nikakuta missed col nilipoipiga aliniuliza kwan we nimekupigia nikamjib ndio akasema subr kwanza niangalie kama nilikupigia, Kila nikipiga namb busy sa hv haipatkan asa hz habar kwamb jamaa wanaita zimenifany nihis kama ni wao