Recent content by ckcacana

  1. C

    JamiiForums Tanzania SWALI LA UGOMVI: Tatizo kubwa la familia za Watanzania ni ngono?

    mada na wachangiaji vyote viko poa kichizi.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu anaomba nisimwache ninampenzi mwingine

    kama vi wachukue wote wawili wawe wume zako na wajuane hapo nitakuona bingwa!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake Makabila Gani Sio Vicheche

    majibu yenu wana Jf hayaridhishi kwa maana hataki kujibu sawia!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Siri ya waraka wa Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwake

    kupambambana na mafisadi ni kazi ngumu sana.watu hawa wanajua kila kitu cha serikaili na wengine wamo ndani ya serikali.Wana kila mbinu za kijasusi zakuweza kufanya mambo yao yafanikiwe.Kuweza kuwapata watu wenye upendo wakweli wa watanzania na nchi yao ni kazi.Watu wakisha yapata madaraka...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Machali atolewa nje ya bunge kwa utovu wa nidhamu

    Jamani hawa magamba ndio wanakata roho taratibu,ngoja tuwavumilie hadi 2015.Tutaona jeuri yao iko wapi.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

    imefika wakati wa watanzania kuamka toka usingizini wa kifikira.kama kweli tunahitaji maendeleo basi hatuna budi kubadili upepo mwelekeo.Huwezi kuongozwa na itikadi za chama kimoja miaka yote.Mbona wao hawamwaachi mwenyekiti huyohuyo kwenye chama chao aongoze miaka yote?Kama hili haliwezekani...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Imedhihirika, Lowassa Mguu Mmoja CCM, Mwingine Chadema

    Kiongozi kama huyu aliyebobea ccm kubadilika,kumtoa uccm ni vigumu kama ilivyo kwa mbwa mzee kumfundisha sheria.kwa maana nyingine Ngozi haiachi asili yake
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Prof. Mwandosya amenyoa nywele au ni ugonjwa kama wa Dr. Mwakyembe? Tujuzeni tafadhali?

    Atafanya kazi ipi wakati wizara yake siyo maalum?Na hiyo wizara aliyopewa sijui inahusika na shughuli zipi?Ebu jaribu kufikiri wewe labda ni mwanfunzi halafu unaambiwa huna darasa maalum.Lakini upo shuleni.Je utakuwa unafanya nini hapo shuleni?Huu ni ubabaishaji mtupu!!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

    kama mambo ndio hivyo.Ni bora kila jimbo likajitawala.
  10. C

    JamiiForums Tanzania CCM kutosimamisha mgombea Arusha Mjini

    ccm hana chao arusha mjini , wao pia wanalitambua hilo.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Angalizo hukumu jimbo la segerea.

    ccm inazidi kuoza na kutoa rutuba nzuri inayoistawisha cdm.acha tupate mazao bora.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuelekea ukombozi wa Nchi yetu: Chadema warushe marudio ya M4C Arumeru

    ni vizuri ikifanyi kila wilaya ili watanzania wakajitambua walivyo watumwa ndani ya nchi yao.hivyo basi wanahitaji ukombozi wakweli.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mazito yaibuka kesi ya Lissu, walalamikaji waadhibiwa mahakamani, Chiligati na Mrema watajwa!

    ni haki yao walalamikaji kulipa fidia.
  14. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    unaweza ukawapumbaza watu kwa wakati fulani lakini si kwa wakati wote.
  15. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    tunahitaji takwimu za kweli na uhakika zaidi.
Back
Top Bottom