Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

kwa ulivyowaslisha ni cdm,wameonesha kufanya kazi ya uongozi.infact ndio wanaongoza nchi kwa sasa,fanya utafiti.
 
Sisi vijana tuliojitambua kuwa tunanyonywa na mkoloni mweusi tutaichugua chadema hata wakimuweka mtu wa lasaba ilimradi ajue kuonge na kutoa maamuzi na kuchekacheka kama Vasco daggama wa magamba.
 
Tunaangalia hali kama ilivyo kwa sasa, harafu tuna extrapolate the same ifikapo 2015, njia hii hutumika kujenga ufahamu wa mambo wakati mwafaka unapofika. Ili kujua mafanikio au vikwazo kutoka sasa hadi 2015, ikiwa matokeo ya 2015 yasipofanana na ya 2012 Juni. If you have to vote today, which political party would you vote for between CCM & CHADEMA, not a person please.

And WHY? in bullet points. MORE FEEDBACK WOULD HIGHLY BE APPRECIATED, Tunasubiri maoni zaidi.
 
Inshaala mwenyezi mungu akijalia atatupatia serikali ya mseto kwani ni yeye pekee anayefahamu nini maana ya serikali za wanadamu na mamlaka zijazo.Hivyo ndugu zangu tuwe na subila katika hili kwani siwezi nikasema ccm ama cdm ni mshindi 2015 ila kwa sasa ni wakati mzuri wa kupima uajibikaji wa pande zote na si propaganda.
 
hebu 2ngoje katiba mpyaa endapo itaondoa madaraka mengi kwa raisi kuwe na uhuru wa mihili mi3 ya nchi, mawaziri wasiwe wabunge nk ndo nitatizama chama kipi kina mgombea strong ila kama katiba ijayo itafanana na hii ya sasa ccm hata wamsimamishe mtume mohamed kura itaenda cdm tu.


ukimwona mwenzako ananyolewa...............(jibu rejea..muhafaka...!)
 
tuanzie kwanza kwenye bajet ya mwaka huu ni trion15 pia tua maoni ya katiba mpya

MNYIKA ANGEKUWA DHAIFU ZAIDI KAMA ANGEFUTA KAULI YAKE BUNGENI.
1. Kama udhaifu ni kuto kujua kwa nini wananchi wako ni maskini
wakati wako nchi tajiri. Mnyika yuko sahihi.

2. Kama huwezi kumuwajibisha au kuona madudu ya katibu mkuu au katibu
kiongozi mpaka bunge lishikilie bango na kushinikiza wang'oke ndio
uzinduke kufanya maamuzi basi mnyika yuko sahihi.

3. Kama kweli watu wamelibia taifa kupitia dili za magumashi halafu
una watangazia warejeshe fedha ili wasichukuliwe hatua na wakati
huohuo vibaka wanauwawa au kuchomwa moto kwa kuiba kuku na simu basi
ni dhahiri kuna udhaifu wa kiungozi. Mnyika yuko sahihi.

4. Kama ndege inaingia kwenye anga ya nchi yako na kubeba wanyama
kupeleka Arabuni bila hatua zozote kuchukuliwa ni dhahiri kuna udhaifu
wa kimfumo ulio kubuhu serikalini. Mnyika yuko sahihi.

5. Kama rais anafunga safari kwenda kuomba misaada na wakati huohuo
misaada anayopewa hailingani thamani na raslimali zinazo vunwa kwenye
nchi yake basi Mnyika yuko sahihi.

6. Kama rais anadiriki kutoa ahadi 99 ambazo thamani yake ni zaidi ya
trilion 9 huku akijua kuwa hazitekelezeki ni hadaa kwa wananchi, chama
na serikali. Mnyika yuko sahihi.

7. Kama taasisi ya Ikulu na mfumo wake wa utawala umehusika kuingilia
maamuzi ya mhimili wa haki kwa kutoa hukumu ya upendeleo ili kumkomoa
au kumnyang'anya mbunge wadhifa kama jinsi ilivyo lalamikiwa. Mnyika
yuko sahihi.

8. Kama serikali inatenga 70% kwa matumizi kwenye bajeti yake na 30%
kwenye maendeleo. Ni dhahiri kuwa ni aina ya serikali dhaifu yenye
viongozi wavivu wa kufikiri.
 
Ukitoa kwa ccm kura itakuwa imeharibika chadema mwendo mdundo
 
imefika wakati wa watanzania kuamka toka usingizini wa kifikira.kama kweli tunahitaji maendeleo basi hatuna budi kubadili upepo mwelekeo.Huwezi kuongozwa na itikadi za chama kimoja miaka yote.Mbona wao hawamwaachi mwenyekiti huyohuyo kwenye chama chao aongoze miaka yote?Kama hili haliwezekani basi hata ccm haiwezekani kuongoza miongo yote.Muda wa ccm umeisha tunahitaji mabadiliko.nafikiri hadi hapo utajua kura yangu uiweke wapi mwana JF.
 
chadema' coz ndicho chama chenye uwezo wa kumuondoa maskin wa tz hapa alipo-na rais atakae toka chadema atakidhi matarajio ya wananchi.
Umechemka siasa ni propaganda ,na wala sio chadema.wote wanafiki tu,njaa zinawasumbua,Kelele nyingi utafikiri Wanabakwa,na wala hawawezi kukidhi matarajio ya wanna nchi,porojo nyngi kwa kutaka kura tu na bado tuendelee kuteseka .
 
Umechemka siasa ni propaganda ,na wala sio chadema.wote wanafiki tu,njaa zinawasumbua,Kelele nyingi utafikiri Wanabakwa,na wala hawawezi kukidhi matarajio ya wanna nchi,porojo nyngi kwa kutaka kura tu na bado tuendelee kuteseka .

...jack unachekesha sana,propaganda za siasa zinakuchanganya tulia na famila yako ili mradi unapata mlo wa mchana na usiku
 
Kama mjuavyo hali ngumu ya maisha kwa watanzania walio kwenye ulalahoi wa kutupwa itaendelea kushika kasi,kwa kwa sasa shilingi 10,000= ni sawa na1,000/=.ifkapo 2015 maisha yatakuwa kama tanuru.kwa uchache mtanzania mwenye akili timamu atajua achague nini kati ya matajiri na walala hoi.naombeni michango yenu.ccm kusine
 
Amini usiamini kama C.C.M itakuwa imelazimisha kujitangazia urais lakini ukweli upo wazi kwamba wananchi hawaitaki serikali ya c.c.m so nyie Akina Manyanya fanyeni hayo mkijua kwamba huo ndio mwisho wenu.... sisi tunaona na hukumu yenu ni 2015..
 
Amini usiamini kama C.C.M itakuwa imelazimisha kujitangazia urais lakini ukweli upo wazi kwamba wananchi hawaitaki serikali ya c.c.m so nyie Akina Manyanya fanyeni hayo mkijua kwamba huo ndio mwisho wenu.... sisi tunaona na hukumu yenu ni 2015..

Kwa kweli muda muda mwingine unaweza kuwa timam lakini ukajifanya chizi kwa maslah yako binafc, napata shaka wanaoipenda CCM kwa wakati huu wako serious au wana nia nyngne.. Kweli wafu watazika wafu wenzao
 
Back
Top Bottom