Sio kweli kusema manispaa ya Moshi ilikua chini ya upinzani tokea mwaka 95. Ukweli ni huu manispaa ya Moshi ipo chini ya upinzani kwa baraza la madiwani kuongozwa na upinzani tokea uchaguzi wa 2010 na huu 2015
[Q UOTE=duanzi;8958140]msaranga sehem gani mkuu. karibu na maghorofani?
Kwa kina wolper ni Msaranga ni karibu na kigango cha kanisa katoliki mtaa unaitwa Msaranga Msaranga karibu sana na msituni kuelekea shule ya msingi msandaka
Sio vodacom peke Yao hata tigo nao wanaibia wateja. Mimi huwa wananikata 150 kila siku na sijui sababu za wao kufanya hivyo. Kwa sababu sijajiunga na huduma zozote zile za tigo zenye makato
Naomba msaada kuhusu kupotea kwa wifi kwenye Simu yangu ya iPhone 4s. Ilipotea ghafla na mpaka sasa siwezi kupata wifi wala icon ya wifi siwezi kuiclick.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.