Recent content by Ciphertext

  1. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    "Wise men speak because they have something to say; fools because they have to say something." ― Plato
  2. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Umechangia vizuri, naamini ulifikiri kabla ya kuandika. Kuna watu wanachangia kama tuko kwenye jukwaa la udaku. Asante sana.
  3. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    Mafunzo gani ya week tatu? Week tatu ndo unatoa pofu kiasi hiki? Huna lolote, nenda wakakutoe sukari.
  4. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Sijamwamini SLAA..

    Siasa Bongo ngumu!
  5. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Piga kura: Nani mwanasiasa bora kati ya ZITTO KABWE na MWIGULU NCHEMBA 2012!

    Utachagua nini kama unachokipenda hakipo? Weka option ya tatu, hapo wote wachumia tumbo tu, hawana lolote kazi kuvuruga akili za watu.
  6. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Piga kura: Nani mwanasiasa bora kati ya ZITTO KABWE na MWIGULU NCHEMBA 2012!

    Nachagua jiwe kati ya hao.
  7. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atumia siku nzima kuikoa CHADEMA pale Karatu jana 27/12/2012

    Unaona sasa? Unapost na kujitetea mwenyewe, ID nyingi mtu yuleyule kazi kwelikweli. Kubishina na wewe ni kupoteza maana unahangaikia posho.
  8. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

    Baada ya vibarua wako kuzidiwa naona umeingia kazini mwenyewe bwana Nape...... Daah kweli siasa za bongo kazi! Hivi ndivyo mnavyotekeleza zile ahadi lukuki mlizotoa? Is this the best CCM can deliver?
  9. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Napita.
  10. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Hata mimi nakubaliana na wewe
  11. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Chama cha demokrasia na maendeleo-cdm-na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa

    Umefikiri sahihi na ukaandika vizuri. Mungu akuzidishie ufahamu wa mambo kwa usahihi.
  12. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dr. Kikwete anahusishwa na sehemu kubwa ya ufisadi?

    Pole sana ndugu!
  13. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Nadhani anatafakari
  14. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Nassari, Lema wadai kutishiwa kifo

    Umemjibu vizuri, naamani akitumia ushauri wako hatarudia kosa alilofanya. Asante sana!
  15. Ciphertext

    JamiiForums Tanzania Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa kimenuka tena mgomo waendelea

    Wanachuo wa Mkwawa wamefunga barabara na kushambulia gari la Polisi lililokuwa likipeleka askari wa zamu kazini. Ntarudi for more updates.
Back
Top Bottom